Rais Mstaafu Kikwete, akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya akutana na Wageni mbalimbali

Rais Mstaafu Kikwete, akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya akutana na Wageni mbalimbali

Afadhali yake alijua kuiba kura kwa akili sio kama kile kituko kingine kilichosikika kikiwaonya maDED
 
View attachment 2315206View attachment 2315207View attachment 2315208View attachment 2315209
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022
View attachment 2315213View attachment 2315214View attachment 2315215View attachment 2315216
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mulatu Teshome, Rais Mstaafu wa Ethiopia na Kiongozi wa Timu ya Mamlaka ya Kiserikali kuhusu Maendeleo (IGAD) ya Uangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya.
Born in town
 
JK kuna kaakili fulani Mungu kambariki japo wengine ndio vile tena hatuoni lakini huu ndio ukweli.

Sisi watoto wa mjini tunampenda kama mlezi wa wana aka mtoto mwenzetu wakitaa, huyu mwamba ana roho yake tu mwenyewe Mungu kambariki.
 
listerning and understanding is the skill, talking and speaking wisely is the skill also.

To be a gentleman sometimes is the talent, nimejifunza pia watoto wa kitaa wanajua kuishi na kila mtu na popote pale.

JK anajua kuishi na kila audience
 
SISYPHUS the King of Corinth, was once dubbed a smartest man in all of Greece.
He cheated the god of death Thanatos, and made fool of the gods of Olympus..
But like any other greedy ruler before him, he eventually ran out of tricks...

NB: Even our Sisyphus will run-out of tricks.......
Karma !!
 
Akili kubwa ya kuua watu , angemuacha apambane nae
in the battlefield we measure the number of casualty there are only two sides of the coin win (survival.)or lose (death) and mastermind always make the last 😂
 
Mtu makini safi mnooo. Naona yuko FITI ile mbaya.uishi miaka mingi mzee w msoga.
 
View attachment 2315206View attachment 2315207View attachment 2315208View attachment 2315209
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022
View attachment 2315213View attachment 2315214View attachment 2315215View attachment 2315216
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mulatu Teshome, Rais Mstaafu wa Ethiopia na Kiongozi wa Timu ya Mamlaka ya Kiserikali kuhusu Maendeleo (IGAD) ya Uangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya.
aisee ukiwa na roho nzuri hauzeeki na Wala haufi mapema, Kikwete bado yupo fit kabisaa
 
Mh kikwete atabakii kuwa nguli wa diplomasia katika ukanda huu, hakika Ni bingwa wa diplomasia na ndio maana anaendelea kuaminiwa Sana hata baada ya kuwa amestaafu
 
Namkumbuka kikwete alivyosolve ule uchaguzi wa kenya uliokuwa na vurugu mambo yakatulia koffi annan ngoma ilishamshinda.
 
1659770103077.png

Hilo pozi la Mkwere ni babu kubwa!! Tabasamu lake la kidiplomasia!! Haijalishi kanuna au kakasirika au kafurahi tabasamu halibanduki usoni.

Mkwere kipenzi cha wafanyakazi wa TZ wamemmisi sana!! Hakuna Rais aliyekuwa mwaminifu kuwaongezea wafanyakazi mshahara kila mwaka!! Tangu afanya hivyo 2014 hadi leo ni patupu!! Hili ongezeko la mwaka huu ni kejeli kama siyo mat*s*. Ongezeko gani la mshahara linakuwa dogo kulipo nyongeza ya mwaka! Mara mia kusingekuwa na ongezeko la mshahara lakini iwepo nyongeza ya mwaka ambayo kwa wengi ingekuwa kiubwa zaidi!! Hivi unaanzaje kumwambia mtu mzima kuwa umempandishia mshahara halafu "take home" ikaongezeka kwa sh. pungufu ya ya elfu kumi? Wakati yeye yuko ziarani kila leo na anakula posho ya zaidi nya laki tatu kwa siku??
 
Back
Top Bottom