Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

NEVER ever take Kikwete seriously, yule ni mwana majungu na mwimbaji taarab tu au mfurahisha genge.
 
Mi nashanga kuona watu bado wanamshuplia huyu msanii. Kwa nchi za wenzetu huyu jamaa ilibidi awe ndani muda huu kwa kukiuka sheria za nchi kwa kwenda China kumtoa Ridhiwani buchani alipokuwa anasubiria kunyongwa kwa kupeleka makontena ya unga.
 
Nashangaa kuona na kusikia kuna Watanzania eti wanampenda Kikwete hadi kudiriki kusema alikuwa Rais mzuri wa Tanzania wakati ndiyo alikuwa Rais mbovu kuwahi kutokea nchini Tanzania.
 
Kwani mkuu anajipeleka tu au wanamuita na kama wanamuita je.Simba iliwai muita akakataa?
 
Genta lakini Kikwete sasa hivi ni raia tu wa kawaida, sioni kwanini ashindwe kufanya mambo ambayo yeye anapenda na haya muumizi mtu mwingine.
 
Mi nashanga kuona watu bado wanamshuplia huyu msanii. Kwa nchi za wenzetu huyu jamaa ilibidi awe ndani muda huu kwa kukiuka sheria za nchi kwa kwenda China kumtoa Ridhiwani buchani alipokuwa anasubiria kunyongwa kwa kupeleka makontena ya unga.
Hebu dadavua vizuri hapa, hili suala natamani kulijua ki undani.
 
Hebu dadavua vizuri hapa, hili suala natamani kulijua ki undani.
Wengine tuna 'Madhambi' yake tokea akiwa Waziri wa Mambo ya Nje, ila kwakuwa ni Mzee sasa na kwa Kumuheshimu tu na Kuzingatia 'Maadili' tunaamua Kunyamaza tu. Hakuna Kiongozi hapo bali ni Msanii n Mswahili mtupu!
 
lol[emoji23][emoji23][emoji23]
Mikia inawauma sana kuona JK kipenzi wa cha Watanzania kuwa Yanga kindakindaki, huku wao mikia wana Ndugai chukizo kwa Watanzania.
 
Kuna faida gani kwa karia kujificha ushabiki wake wa simba?
 
Huyu Gentamycine Ni pimbi tu ajifanyaye kujua kila kitu kumbe Hana anachojuwa. Kwani Mh. Kikwete kuonyesha mahaba yake kwa timu haipendayo inakuuma nini? Unamjua yule kiongozi wa kitaifa Italia, je aliyaficha mapenzi yake kwa klabu yake ya AC Milan? Kwa taarifa yako tayarisha kamba ya kujinyongea maana yanayokuja hutoyavumilia pimbi wewe.
 
Eti GSM ndiyo iliyokuwa home shopping Centre!! Nauliza tu maana nilikuta kijiweni watu wanadai hivyo!! Mwenye uhakila na hili atujuze!!
Alafu akikujuza itakusaidia nini , fanya kazi kijana na wewe hujazuiwa kuanzusha home shopping center yako mkuu, watz tubadilike majungu na umbea havitusaidii kwa lolote. Muda tunaopoteza kufuatilia maisha ya watu tungeutumia kufanya yetu tungekuwa mbali Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…