Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

Wewe ndio una kiherehere na kushobokea watu

Hao viongozi uliowataja wote ni tofauti n Kikwete

Katika watu ambao wamewahi kuwa viongozi katika clabu ya Yanga na Kikwete yupo kwa hiyo yawezekana ameenda pale kama kiongozi mstafu wa Yanga na si kama raisi mstafu wa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka linaficha mambo mengi mkuu.. tafakar t maana we unajua kunyambua na kunyambulisha
 
Angalikuwa simba ungalikuona kidume! Upuuzi wako sijui utesha lini
 
Haya sasa tumejua ' GSM ' ni yake 100%.
Hata kama ni yake, so what? Mama jana katamka kuwa familia yake wanamiliki TV Station inampunguzia au inamuongezea nini? Mwache JK na Yanga yake. Waambie hao wa simba watoke hadharani tuwajue!!! Kwa nini wanafichama? Au wanaonekana simba akishinda akifungwa wanajifungia vyumbani!
 
Nashangaa kuona na kusikia kuna Watanzania eti wanampenda Kikwete hadi kudiriki kusema alikuwa Rais mzuri wa Tanzania wakati ndiyo alikuwa Rais mbovu kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Ndiyo maana tunaambiwa watanzania wana akili mgando, si unaona marais wanazidi kutuchezea akili kila kukicha
 
NAIONA TURUFU YA UGOMBEA URAISI WA JMT KUPITIA YANGA KAMA PLATFORM KWA TEAM KIKWETE!!TUSUBIRI TUONE YA MOSE KATUMBI NA CONGO DRC!!!
 
Miaka ile ilikuwa.
Juu Kikwete
Katikati Manji
Chini Malinzi.
Na hawakufika kokote Kimataifa.
Kila mechi lazima wapate Penati,
Kwao ilikuwa hakuna offside.
Walibebwa hawakubebeka.

Kikwete kwa hadhi yake hakutakiwa kujionesha ni Yanga lialia.
uyo Simba kimataifa amechukua kombe gani, kwenye mpira mafanikio ni kuchukua kombe na sio kitu kingine
 
Ni Nani aliahirisha mechi iliyopita? Huenda ni mikia wa kificho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…