Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

Rais mstaafu anaambiwa ana kiherehere na mbuzi mmoja anaeishi kwa shemeji,mikia kuna mataahira wengi sana.
Usitukane bhana...utafanya shemeji adi-sconnect wireless alafu watu wakimbie jamvi....[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Licha ya kuwa Yanga inapumulia mashine lakini bado inawachokonoa watu ingali ICU..
 
Kwani mkuu anajipeleka tu au wanamuita na kama wanamuita je.Simba iliwai muita akakataa?
Hakuna kiongozi wa kiserikali mwenye utayari wa kuichafua heshima yake kwa kushiriki meza moja na Mambumbumbu.

Ndio maana wako na kiu mno ya kuona Kiongozi wa kiserikali....


Wameshachoka kumuona Bwanyenye kila siku.
 
Mikia inawauma sana kuona JK kipenzi wa cha Watanzania kuwa Yanga kindakindaki, huku wao mikia wana Ndugai chukizo kwa Watanzania.
Ndugai angekuwa shabiki wa Yanga nisingeshabikia Yanga mpaka Jamaa adanje...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mafanikio kwa mshabik ni timu kuchukua kombe , unless uwe na share kwenye timu utakua unafaidika
Sio kweli, kucheza tu ktk ngazi ya Club Bingwa Afrika au Shirikisho ni mafanikio.
Kitendo cha Simba kufika hatua ya Robo Fainali kimeziwezesha Timu NNE za nchi yetu kushiriki ktk mashindano ya Afrika.
Kuna uwezekano mkubwa mwaka huu timu ya Biashara United, kupata tiketi ya kushiriki mashindano ya Afrika.
Hii itaitangaza Nchi yetu ktk medani ya soka.
Majibu yako ni kama ile kauli ya sizitaki Mbichi hizi.
 
Wewe ndo una kiherehere kama una mimba changa.
 
Ukosefu wa adabu uwe na mipaka.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa mjinga utabaki mjinga Tu

Kila la kheri mjinga
 
tar 3 ndio hiyo,na mmesha pigwa kimoko.
 
Haya sasa tumejua ' GSM ' ni yake 100%.
Shida nini kama ninyi Tu mo mlimteka na kumlazimisha atoe mambo Kwa simbwa simbwa mkamvisha na kitenge

Akina genta

Nini shida ya mzee wa msonga kuwapa Raha wananchi timu ya ukombozi wa taifa achana na ninyi wasaliti wa Malkia wa uingereza
 
Yaani Jakaya Mrisho Kikwete ana kiherehere[emoji1751]
 
Sikutegemea Gentamycine legendary jf uandike upumbavu huu!
Ulifikiria sawasawa au umetumwa?

Kila mtu ana haki ya kuishi apendavyo I'll mradi asivunje sheria

Mbona hujamzungumzia Job ndugai alipoizungumzia simba na kuiponda yanga mbele ya kikao cha bunge?

Acha chuki isiyo maana utakufa mdomo wazi.

Kwa uzi huu nakutoa thamani
 
Jamaa siku hizi za karibuni anaandika vitu utadhan Kuna mtu kaiba pass key yake,ngoja atarudi tunaye mjua.[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…