Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

Genta, main point yako no kututangazia kuwa Gsm ya kikwete na siyo habari ya Yanga!!! Kwanini usingeenda kwenye point ukaacha kuzunguka?
 
Nilikuwa nakuona unauelewa mkubwa kumbe uelewa wako ni wa kilomita moja tu mbele basi.

Hivi unaweza kuficha hisia na unachokipenda?? Vipi hao marais mnaowaita taifa alafu mnapigwa mbele yao na wapenzi wa timu yenu??? Au nao wanakuja na p. Interest za simba sio utaifa??
 
mama yenu katoka kwa mkapa na uzuni [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Raisi samia sio simba wewe boya,..! ni mwananchi original kabisa na kama una ushahidi weka hapa tuthibitishe...
 
wakuu, nimeambiwa leo kulikua na game Simba na Yanga, naombeni matokeo
 
Wewe umekatazwa kumiliki ? Umbea na dododomo unafaidika na nini?Kumbwa Jinga kweli wewe
 
Wengine tuna 'Madhambi' yake tokea akiwa Waziri wa Mambo ya Nje, ila kwakuwa ni Mzee sasa na kwa Kumuheshimu tu na Kuzingatia 'Maadili' tunaamua Kunyamaza tu. Hakuna Kiongozi hapo bali ni Msanii n Mswahili mtupu!
Hivi, alionja vya chumbani kwenu mpaka mmemkazia kwa maneno makali?
 
Wacha mzee a support anachokipenda, acha usenge.. Kufungwa afungwe Manura uumie ww... Hahahahaa
Yanga ndo wanaume wa nchi hii.. Tukutane 25 July Kigoma
 
Usingeandika na wewe ningejua huna kiherehere , wacha unyani wewe ndiye mkuu wa viherehere hapa JF.
 
Hao wengine kwani walikatazwa kuhudhuria vikao? Mambo yake muachieni mwenyewe...
 
To be honest, huu uzi ulinikera sana! Nakumbuka niliandika maneno makali sana dhidi ya mtoa mada, then nikaamua tu kufuta ili na mimi nisionekane POPOMA!
 
WAZAZI WAKOOO WANAVYOUZA BANGI WANAPATA FAIDA GANI KWANI

BANGIZINGINE BANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…