Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Daaah huyu Pk inaonekana hagusiki kabisa ,mtu mwenyew amenyoka kama mti ila anawala vichwa tu watu kibao na hakuna wa kumfanya lolote, yaan hata masniper hakuna africa wa kumtungua huyu njiti ya kiberit
[emoji23][emoji23][emoji23]akili sio mwili mkuu PK yupo vizuri sana kichwani watu wanamchukia but hakuna kitu kizuri na kigumu kama kuzitimiza ndoto zako i really appreciate that man duniani ili ule lazima wengine waumie sheria ipo hivyo
 
Sasa unaweza kuona kwanini baadhi ya Nchi Rais anagoma kuondoka madarakani na anataka afie pale.

Hana uhakika na maslahi/maisha yake baada ya kuachia ngazi kwa kuwa hakuna institutions zenye mifumo imara na takwa la Rais ndio inakuwa sheria
Well noted comrade. It's high time to reshape our institutions in Africa
 
Duuh . . . DRC kuna taabu sana maana hizi moves zinafuatiliwa na mabeberu kuliko kawaida
 
Safi sana Tsekedi kabila alikuwa anakuyumbisha sana
 
Hii ndio Afrika!

Hapo utasikia Kabila kakimbilia msituni anaunda kundi lake na anapata kuungwa mkono na watu anampindua Tchisekedi
Tchisekedi atakuwa ameyataka mwenyewe!
 
Isipokuwa tu urafiki wa Dimitry Medvedev na Vladimir Putin
 
Naona kabila anataka ionekane DRC ina maraisi wawili yeye kuwa na infuence haimaanishi yeye ndiye kila kitu awe mpole muda wake ukifika atafanya anachokifikiria kwa sasa amuache jamaa afanye kazi alafu ulinzi kapewa na serikari hiyo hiyo hakuna shida yeyote hapo askari wa jeshi na hao polisi wote ni wa kwao kazi njema kongo karibuni East Afrika
 
Hivi wakijiunga East Africa si kutakuwa na amani? Unadhani wanachama wengine watakubali kuona Vita Congo?
 
Kumbe ndio maana Nkurunzinza alijiongeza akafa mapema,sasa hivi haitaji ulinzi wa police,jeshi,mgambo,skauti wala imbonerakure
 
Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Kongo ililaaniwa na Patrice Emery Lumumba; itabidi wakubaliane kama taifa moja waende lilipo kaburi la Lumumba watambike kitaifa ndipo wataanza maisha mapya kama taifa kubwa lenye raslimali nyingi kuliko yote Afrika.

Inaonekana Tshisekedi naye ameanza kuyumba kiungozi ndiyo maana anaanza kunyooshea wengine vidole
 
Kagame
Kaguta
JPM wakiona haya ndo hawataki kabisa sikia habari za kuondoka

JPM ameshazidisha hata mwaka mmoja kubaki madarakani?
Naona mnapenda abakie madarakani baada ya miaka 10, basi atawasikia.
 
Hivi ile nyumba ya gorofa kariakoo waliokuwa wanasema ni ya kabila ni kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…