Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Daaah huyu Pk inaonekana hagusiki kabisa ,mtu mwenyew amenyoka kama mti ila anawala vichwa tu watu kibao na hakuna wa kumfanya lolote, yaan hata masniper hakuna africa wa kumtungua huyu njiti ya kiberit
[emoji23][emoji23][emoji23]akili sio mwili mkuu PK yupo vizuri sana kichwani watu wanamchukia but hakuna kitu kizuri na kigumu kama kuzitimiza ndoto zako i really appreciate that man duniani ili ule lazima wengine waumie sheria ipo hivyo
 
Sasa unaweza kuona kwanini baadhi ya Nchi Rais anagoma kuondoka madarakani na anataka afie pale.

Hana uhakika na maslahi/maisha yake baada ya kuachia ngazi kwa kuwa hakuna institutions zenye mifumo imara na takwa la Rais ndio inakuwa sheria
Well noted comrade. It's high time to reshape our institutions in Africa
 
Isitoshe kuna inchi Majirani na Congo na nyingine za mabeberu zina nufaika na kotokuepo kwa Amani Congo...so mapinduzi yoyote kwao ni fursa...so ikitokea Kabila akitaka kufanya mapinduzi watamuunga mkono 100% maana wanajua during a war ndo muda wao wa kuchuma vzuri.
Duuh . . . DRC kuna taabu sana maana hizi moves zinafuatiliwa na mabeberu kuliko kawaida
 
Rais mstaafu wa Congo DR, Joseph Kabila Kabange apokonywa walinzi wa kikosi cha jeshi waliokuwa wakimlinda na kupewa ulinzi wa Polisi wa kawaida.

Haijulikani sababu ya uamuzi huu uliofanywa na Serikali ya Felix Tshekedi. Siku za karibuni wawili hao wamekuwa katika mgogoro wa madaraka.

Habari zaidi zinasema Kabila amekimbilia Dubai baada ya hatua hizo.

Chanzo: Radio DW.
Safi sana Tsekedi kabila alikuwa anakuyumbisha sana
 
Hii ndio Afrika!

Hapo utasikia Kabila kakimbilia msituni anaunda kundi lake na anapata kuungwa mkono na watu anampindua Tchisekedi
Tchisekedi atakuwa ameyataka mwenyewe!
 
Nimesoma comment za wengi lakini wewe unaonekana una ufahamu mzuri wa kinachoendelea. Nia ya Kabila ilikuwa Felix awe rais boya na yeye ndiye awe kinana. Kuna kuna wanaosema alitaka kipindi chake kikiisha arudi tena. Lakini ilivyo ada ya urafiki wa kuwekana madarakani kama huu hadumu. Dunia ina mifano mingi sana ya marafiki waliwekana madarakani na baadae wakageukana. Hata hapa kwetu upo wa Lowassa na Kikwete.
Isipokuwa tu urafiki wa Dimitry Medvedev na Vladimir Putin
 
Naona kabila anataka ionekane DRC ina maraisi wawili yeye kuwa na infuence haimaanishi yeye ndiye kila kitu awe mpole muda wake ukifika atafanya anachokifikiria kwa sasa amuache jamaa afanye kazi alafu ulinzi kapewa na serikari hiyo hiyo hakuna shida yeyote hapo askari wa jeshi na hao polisi wote ni wa kwao kazi njema kongo karibuni East Afrika
 
Naona kabila anataka ionekane DRC ina maraisi wawili yeye kuwa na infuence haimaanishi yeye ndiye kila kitu awe mpole muda wake ukifika atafanya anachokifikiria kwa sasa amuache jamaa afanye kazi alafu ulinzi kapewa na serikari hiyo hiyo hakuna shida yeyote hapo askari wa jeshi na hao polisi wote ni wa kwao kazi njema kongo karibuni East Afrika
Hivi wakijiunga East Africa si kutakuwa na amani? Unadhani wanachama wengine watakubali kuona Vita Congo?
 
Kumbe ndio maana Nkurunzinza alijiongeza akafa mapema,sasa hivi haitaji ulinzi wa police,jeshi,mgambo,skauti wala imbonerakure
 
Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Kongo ililaaniwa na Patrice Emery Lumumba; itabidi wakubaliane kama taifa moja waende lilipo kaburi la Lumumba watambike kitaifa ndipo wataanza maisha mapya kama taifa kubwa lenye raslimali nyingi kuliko yote Afrika.

Inaonekana Tshisekedi naye ameanza kuyumba kiungozi ndiyo maana anaanza kunyooshea wengine vidole
 
Kagame
Kaguta
JPM wakiona haya ndo hawataki kabisa sikia habari za kuondoka

JPM ameshazidisha hata mwaka mmoja kubaki madarakani?
Naona mnapenda abakie madarakani baada ya miaka 10, basi atawasikia.
 
Hivi ile nyumba ya gorofa kariakoo waliokuwa wanasema ni ya kabila ni kweli ?
 
Back
Top Bottom