Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Vita inakuja congo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]akili sio mwili mkuu PK yupo vizuri sana kichwani watu wanamchukia but hakuna kitu kizuri na kigumu kama kuzitimiza ndoto zako i really appreciate that man duniani ili ule lazima wengine waumie sheria ipo hivyoDaaah huyu Pk inaonekana hagusiki kabisa ,mtu mwenyew amenyoka kama mti ila anawala vichwa tu watu kibao na hakuna wa kumfanya lolote, yaan hata masniper hakuna africa wa kumtungua huyu njiti ya kiberit
Well noted comrade. It's high time to reshape our institutions in AfricaSasa unaweza kuona kwanini baadhi ya Nchi Rais anagoma kuondoka madarakani na anataka afie pale.
Hana uhakika na maslahi/maisha yake baada ya kuachia ngazi kwa kuwa hakuna institutions zenye mifumo imara na takwa la Rais ndio inakuwa sheria
Duuh . . . DRC kuna taabu sana maana hizi moves zinafuatiliwa na mabeberu kuliko kawaidaIsitoshe kuna inchi Majirani na Congo na nyingine za mabeberu zina nufaika na kotokuepo kwa Amani Congo...so mapinduzi yoyote kwao ni fursa...so ikitokea Kabila akitaka kufanya mapinduzi watamuunga mkono 100% maana wanajua during a war ndo muda wao wa kuchuma vzuri.
Safi sana Tsekedi kabila alikuwa anakuyumbisha sanaRais mstaafu wa Congo DR, Joseph Kabila Kabange apokonywa walinzi wa kikosi cha jeshi waliokuwa wakimlinda na kupewa ulinzi wa Polisi wa kawaida.
Haijulikani sababu ya uamuzi huu uliofanywa na Serikali ya Felix Tshekedi. Siku za karibuni wawili hao wamekuwa katika mgogoro wa madaraka.
Habari zaidi zinasema Kabila amekimbilia Dubai baada ya hatua hizo.
Chanzo: Radio DW.
Hakuna kitu km hichoDRC kinanuka muda sio mrefu, anachokitafuta Tshisekedi atakipata
Tchisekedi atakuwa ameyataka mwenyewe!Hii ndio Afrika!
Hapo utasikia Kabila kakimbilia msituni anaunda kundi lake na anapata kuungwa mkono na watu anampindua Tchisekedi
Isipokuwa tu urafiki wa Dimitry Medvedev na Vladimir PutinNimesoma comment za wengi lakini wewe unaonekana una ufahamu mzuri wa kinachoendelea. Nia ya Kabila ilikuwa Felix awe rais boya na yeye ndiye awe kinana. Kuna kuna wanaosema alitaka kipindi chake kikiisha arudi tena. Lakini ilivyo ada ya urafiki wa kuwekana madarakani kama huu hadumu. Dunia ina mifano mingi sana ya marafiki waliwekana madarakani na baadae wakageukana. Hata hapa kwetu upo wa Lowassa na Kikwete.
Alipanga kurejea Ikulu tenaSafi sana Tsekedi kabila alikuwa anakuyumbisha sana
Hivi wakijiunga East Africa si kutakuwa na amani? Unadhani wanachama wengine watakubali kuona Vita Congo?Naona kabila anataka ionekane DRC ina maraisi wawili yeye kuwa na infuence haimaanishi yeye ndiye kila kitu awe mpole muda wake ukifika atafanya anachokifikiria kwa sasa amuache jamaa afanye kazi alafu ulinzi kapewa na serikari hiyo hiyo hakuna shida yeyote hapo askari wa jeshi na hao polisi wote ni wa kwao kazi njema kongo karibuni East Afrika
Mwanachama gani wa EAC ana ubavu wa kuzuia vita vya Congo?Hivi wakijiunga East Africa si kutakuwa na amani? Unadhani wanachama wengine watakubali kuona Vita Congo?
Kongo ililaaniwa na Patrice Emery Lumumba; itabidi wakubaliane kama taifa moja waende lilipo kaburi la Lumumba watambike kitaifa ndipo wataanza maisha mapya kama taifa kubwa lenye raslimali nyingi kuliko yote Afrika.Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Kagame
Kaguta
JPM wakiona haya ndo hawataki kabisa sikia habari za kuondoka
Kabila siyo wa kukaa naye peacefuly. Kabila hakuwa na nia nzuri na CongoTshekedi ameshindwa kutumia busara kabisa kwa nini asikae na wastaafu wake peaceful
Tanzania yaweza ikiamua kwa dhati.Mwanachama gani wa EAC ana ubavu wa kuzuia vita vya Congo?
How?Tanzania yaweza ikiamua kwa dhati.