Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ali Mahdi Muhammad amefariki dunia Machi 10 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu baada ya kugundulika kuwa na #COVID19
Alizaliwa Januari 1, 1939 na alikuwa Rais wa Somalia 1991 hadi 1997 akiwa ni Rais wa nne.
Alizaliwa Januari 1, 1939 na alikuwa Rais wa Somalia 1991 hadi 1997 akiwa ni Rais wa nne.