Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mimi mpaka sasa hivi siwezi amini kama viongozi wetu tunao wategemea kwa busara wengeweza kweli kufanya blunder of a century ya kumpeleka JPM kwenye Private hospital ya Nairobi kwa matibabu zaidi, wakati wanajua fika kwamba Kampuni za kuzalisha chanjo zinashirikiana na Kenya kwa masuala ya majaribio ya chanjo zao specifically chanjo zinazo zalishwa na Chuo Kikuu cha Oxford na wenzake.Nairobi hapafai Nkurunzinza alifia hapo na huyu tena ndio mana mzee baba kasepa zake India
Makumpuni hayo wanamjua vizuri JPM anavyo pinga matumizi ya chanjo hizo hatarishi, halafu sisi kukosa kutafakari mambo kiundani zaidi tuna mpeleke kiongozi wetu kwenye ndomo wa mamba - kumbukeni Kampuni hizi za chanjo zina ushawishi mkubwa Duniani na uwezo wa kifedha wa kufanya lolote pindi wanapo hisi kuna watu ambao wanaweza kuzikosesha soko chanjo zao - je, wahusika hilo hawakulifikiria kabla hawampeleka Nairobi au?
Kama kweli Kiongozi wetu anaunwa niliwashauri mkimbizeni Uchina tu na si kwingeneko - sijuhi kama nieleweka? Angalieni main stream media za magharibi zinavyo msema vibaya JPM kuhusu kukataa kwake chanjo zao kuingizwa nchini, wana wasi wasi kwamba mataifa mengi ya Afrika zataiga Tanzania kwa kukataa chanjo zao, hapo mnategemea nini! Kwamba kampuni hizo za madawa na chanjo zitampenda na kumtakia afya njema JPM - thubutu.
Narudia kukumbusha kwamba mkimbizeni JPM Uchina kama kuunwa kwake sio uzushi.