Rais mstaafu wa Somalia afariki dunia Hospitali ya Nairobi alipokuwa akitibiwa COVID19

Rais mstaafu wa Somalia afariki dunia Hospitali ya Nairobi alipokuwa akitibiwa COVID19

Attachments

  • Screenshot (6).png
    Screenshot (6).png
    6 KB · Views: 1
Ali Mahdi Muhammad amefariki dunia Machi 10 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu baada ya kugundulika kuwa na #COVID19

Alizaliwa Januari 1, 1939 na alikuwa Rais wa Somalia 1991 hadi 1997 akiwa ni Rais wa nne

View attachment 1722287
Nairobi hapafai Nkurunzinza alifia hapo na huyu tena ndio mana mzee baba kasepa zake India
 
Corona inawapenda watu wakubwa wakubwa wenye hela zao
We jmaa ID yako sijui imekulaani samahani lakini. Ko akifa mtu wa mtaani kama sio mtaani kwenu na huna uhusiano nae nani atakutangazia ww? Jiongeze wewe. Yule mbunge wa mbulu aliesema amechoka kuzika wananchi wake kwahyo wote walikuwa matajiri? Halafu jua kwamba Africa matajiri wengi ni wazee na uviko anashambulia zaidi wazee. Ila jmaa badilisha ID we ni kama wale wanajiita tabu nasikia mara nying hali huwa mbaya ya maisha.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wabongo nyoso sana, shimo mnalo nichimbia mtaingia wenyewe nduguzangu.
 
Hao watu wa mbulu wamekufa kwa ugonjwa upi?

We jmaa ID yako sijui imekulaani samahani lakini. Ko akifa mtu wa mtaani kama sio mtaani kwenu na huna uhusiano nae nani atakutangazia ww? Jiongeze wewe. Yule mbunge wa mbulu aliesema amechoka kuzika wananchi wake kwahyo wote walikuwa matajiri? Halafu jua kwamba Africa matajiri wengi ni wazee na uviko anashambulia zaidi wazee. Ila jmaa badilisha ID we ni kama wale wanajiita tabu nasikia mara nying hali huwa mbaya ya maisha.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Aisee hizi mambo za Nairobee sitaki hata kuziongelea.
Nina mke na watoto na pisi moja ya pembeni wote wananitegema mimi.
Kwa mujibu wa Ndugulile wewe hapo unalo. Sababu ni ku-comment, ku-like au hata angekuwa na uwezo hata kusoma nayo angeweka kwenye makosa ya kimtandao.
 
Kwa mujibu wa Ndugulile wewe hapo unalo..., sababu ni ku-comment, ku-like au hata angekuwa na uwezo hata kusoma nayo angeweka kwenye makosa ya kimtandao
huyo jamaa ni mzee wa kutoa boko sisnce amekabidhiwa hiyo wizara.
 
Back
Top Bottom