UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hao watu kuandamana ili kuonesha hizo chuki zao hawawezi ila wanasubiri mtu afe ndio waoneshe furaha zao,hao bila ya shaka ni walevi tu hawana za ziada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watu kuandamana ili kuonesha hizo chuki zao hawawezi ila wanasubiri mtu afe ndio waoneshe furaha zao,hao bila ya shaka ni walevi tu hawana za ziada.
MMental disorder.
Waache tu wangeonyesha b4 wangepotea kama Ben SaananeHao watu kuandamana ili kuonesha hizo chuki zao hawawezi ila wanasubiri mtu afe ndio waoneshe furaha zao,hao bila ya shaka ni walevi tu hawana za ziada.
Ukweli hua na tabia ya kujidhihilisha mda ukifika, andaeni K vant na Konyagi za kutosha huenda furaha yenu imekaribia.M
Waache tu wangeonyesha b4 wangepotea kama Ben Saanane
Ninasikia Trinidad karibu watapata Rais mwanamke, kwa mara ya kwanza kutokea East Coast.Ukweli hua na tabia ya kujidhihilisha mda ukifika, andaeni K vant na Konyagi za kutosha huenda furaha yenu imekaribia.
Endelea kusikia.Ninasikia Trinidad karibu watapata Rais mwanamke, kwa mara ya kwanza kutokea East Coast.
Kwahiyo sasa tuseme Ben alikuwa mjinga hakufikiria kwamba uoga ndio akili Au kwamba Ben alikuwa na ujasiri hakuwa muoga?M
Waache tu wangeonyesha b4 wangepotea kama Ben Saanane