Rais mstaafu wa Somalia afariki dunia Hospitali ya Nairobi alipokuwa akitibiwa COVID19

Kila ninapotaka ku comment button zinagoma
 
Nairobi hapafai Nkurunzinza alifia hapo na huyu tena ndio mana mzee baba kasepa zake India
 
Corona inawapenda watu wakubwa wakubwa wenye hela zao
We jmaa ID yako sijui imekulaani samahani lakini. Ko akifa mtu wa mtaani kama sio mtaani kwenu na huna uhusiano nae nani atakutangazia ww? Jiongeze wewe. Yule mbunge wa mbulu aliesema amechoka kuzika wananchi wake kwahyo wote walikuwa matajiri? Halafu jua kwamba Africa matajiri wengi ni wazee na uviko anashambulia zaidi wazee. Ila jmaa badilisha ID we ni kama wale wanajiita tabu nasikia mara nying hali huwa mbaya ya maisha.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wabongo nyoso sana, shimo mnalo nichimbia mtaingia wenyewe nduguzangu.
 
Hao watu wa mbulu wamekufa kwa ugonjwa upi?

 
Aisee hizi mambo za Nairobee sitaki hata kuziongelea.
Nina mke na watoto na pisi moja ya pembeni wote wananitegema mimi.
Kwa mujibu wa Ndugulile wewe hapo unalo. Sababu ni ku-comment, ku-like au hata angekuwa na uwezo hata kusoma nayo angeweka kwenye makosa ya kimtandao.
 
Kwa mujibu wa Ndugulile wewe hapo unalo..., sababu ni ku-comment, ku-like au hata angekuwa na uwezo hata kusoma nayo angeweka kwenye makosa ya kimtandao
huyo jamaa ni mzee wa kutoa boko sisnce amekabidhiwa hiyo wizara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…