Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Kuna mtu mpaka uchaguzi huu uishe betri alilowekewa kwenye moyo litapasuka.
 
Tukituma picha zenu mlizovaa oversized suti mnasema mmenyanyaswa
Lisu maskini ugombea uraisi kwa Sasa Enzi hizi unatakiwa kuwa na pesa zako binafsi za kwako za kutosha kwa kampeni au chama kiwe nazo Kama Huna.Chadema pesa hakina na Lisu Hana ni paradox!!!

Chadema wakipitisha Lofa Lisu wakati chama pia hela hakina za kampeni Ni kituko kitashindwa mapema asubuhi
 
Hata tukitoa 1,000 kila mtu supporters wake zitatosha kufanyia kampeni na change itabaki ya kununulia bullet proof gari ya Rais Tundu Antipas Lissu.
 
Kikao cha kupitisha mgombea mtukufu atakuwemo kwani?

nahisi hatokuwemo sababu ni mgombea ndiyo hapo JK atampiga choko chembe

Yes hawakuwepo mtukufu, lakini Membe si niliskia aliondolewa uanachama sasa atagombea kwa ticket ipi mkuu...?
 
Back
Top Bottom