Pre GE2025 Rais mteue January Makamba awe Balozi huko nchi ya mbali kabisa

Pre GE2025 Rais mteue January Makamba awe Balozi huko nchi ya mbali kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Januari nje ya bumbuli hana ushawishi wowote msimkuze...

Januari kama anajiamini achukue fomu, iwe 2025 au 2030 aone kama kuna mtu anachagua propaganda badala ya kazi...

Ukiondoa wizi na propaganda za kujifanya akili nyingi kinabaki kipara kisicho na kitu...
CHAMA hakiwezi kuruhusu ,kuonja sumu
 
Woga wa nini?
Acheni demokrasia ifanye kazi. January Makamba apewe fomu akiomba.
Mh.Samia atashinda tu akishindanishwa na yeyote wakati yeye bado akiwa mwenyekiti wa CCM na raisi wa nchi.
Mambo yata alibika sanaaa mkuu, hatutaki huko
 
CHAMA hakiwezi kuruhusu ,kuonja sumu
Hata akichukua fomu hawezi kumshinda Samia...

Ni kweli Samia hana makundi ila angalau kuna kitu anafanya kinaonekana...

Januari atawashawishi watu kwa kipi?
 
Kunaenda kutokea mabadiliko ndani ya CCM na Rais bora Mwanaume atatoka CCM 2025
 
Back
Top Bottom