Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Serikali ya Kenya inalipwa na wanajeshi waliopo huko wanalipwa pesa nzuri tu.
Yeah hiyo ndo maana ya proxy war , ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya Kenya inalipwa na wanajeshi waliopo huko wanalipwa pesa nzuri tu.
Kwa sasa hivi hapa East Afrika Rais namba moja ni Uhuru na wa mwisho ni Magufuli. Hilo liko wazi kabisa.
Unaelewa kuwa chochote ambacho hakivunji sheria hakina walakini?
Ni nani mnafiki kati ya anaelamba kamasi za wazungu wazi wazi na yule anaelamba kamasi za wazungu kwa kificho?Kwa sababu kuna mmoja akiwa majukwaani anawalaani na kuwaponda mabeberu wakati huohuo anatumia mkono wake wa kushoto kuchukua hela zao za kupambana na COVID-19 wakati ameshaiambia dunia kuwa hakuna Corona!
Unaelewa masharti ya hizo pesa?Tanzania ilitii masharti ya kutumia hizo hela Kutoka EU pamoja na WHO kama vile kupima watu wengi COVID-19 kadri inavyowezekana na kutangaza kwenye vyombo vya habari kama vile TV,radio,magazeti,e.t.c ni wangapi wamepimwa,wangapi wamekutwa na corona na ni wangapi hawajakutwa na corona?Uwe unatumia akili nyakati nyingine.
Tanzania na Afrika kwa ujumla haina serious fatalities, but other sectors of the economy have been affected. So stimulus package is of utmost important.
Unaelewa masharti ya hizo pesa?Tanzania ilitii masharti ya kutumia hizo hela Kutoka EU pamoja na WHO kama vile kupima watu wengi COVID-19 kadri inavyowezekana na kutangaza kwenye vyombo vya habari kama vile TV,radio,magazeti,e.t.c ni wangapi wamepimwa,wangapi wamekutwa na corona na ni wangapi hawajakutwa na corona?
Ulimsikiliza yule mwenyekiti wa mkutano wa EU?Ulimsikia alivyotaja masharti ya fedha za kupambana na COVID-19 na jinsi alivyolalamika Tanzania haikutii masharti hayo?Acha uongo. Kinachoongelewa hapa ni package/FEDHA kwa madhara yasiyo ya kiafya. Ni kwa ajili ya kuchagiza uchumi.
Anahusika currently kuivunja Somalia kwa kuunda jubaland, divide and rule, per his lord's order ofcoz, kigogo wa Twitter ni puppet wao.Ninatabiri kuwa Uhuru ni rais wa ajabu na hatari EAC. Huenda akahusika na Mambo ya kihuni EAC na na atatumika na Marekani.
Onyesha mahali Tanzania akitii hayo masharti we nyumbu, you have de energy for nonsense, use it else where, damn.Unaelewa masharti ya hizo pesa?Tanzania ilitii masharti ya kutumia hizo hela Kutoka EU pamoja na WHO kama vile kupima watu wengi COVID-19 kadri inavyowezekana na kutangaza kwenye vyombo vya habari kama vile TV,radio,magazeti,e.t.c ni wangapi wamepimwa,wangapi wamekutwa na corona na ni wangapi hawajakutwa na corona?
Anahusika currently kuivunja Somalia kwa kuunda jubaland, divide and rule, per his lord's order ofcoz, kigogo wa Twitter ni puppet wao.
Bad intentions, always fail, tutaona.
Ingekuwa Magufuli kaongea na Biden hayo makelele ya MATAGA yangeshatutoboa masikio hadi muda huu
Kwa sasa hivi hapa East Afrika Rais namba moja ni Uhuru na wa mwisho ni Magufuli. Hilo liko wazi kabisa.
Kelele za MATAGA zingehubiriwa nchi nzima. Unakumbuka ile fix ya simu ya Angela Markel kuongea na Magufuli?kwahiyo huyu mkenya aliyeleta habari hapa kenyan forum hiyo sio kelele!!
ndio maana mnaitwa nyumbu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nazan namba moja Kwa kupiga magoti kuomba mikopoNamba moja kwa kipi, kupiga mitungi au kutamani mademu?
Kelele za MATAGA zingehubiriwa nchi nzima. Unakumbuka ile fix ya simu ya Angela Markel kuongea na Magufuli?
Sasa na wewe na utu uzima wako unaona kuna lolote la kufurahia hapa? Mbona majiranj bado mko utumwani mnasujudia wazungu karne hii?Hii muhimu sana kwa huyo rais mteule kuanza kuongea na viongozi wenye ushawishi mkubwa duniani kupanga namna ya kuirejesha Marekani kwenye nafasi iliyokua nayo hapo awali kabla kuharibiwa na yule mzee chizi.
![]()
President Uhuru Kenyatta (left) and US President-Elect Joe Biden
President Uhuru Kenyatta on Monday, November 30, engaged in a telephone call with US President-Elect Joe Biden to discuss a number of regional and international issues.
President Kenyatta used the phonecall to convey a congratulatory message on behalf of Kenya, to Biden who won the November 3 election.
The president-elect offered his gratitude for Uhuru's congratulatory message and expressed his appreciation for the strong and lasting ties between the two countries.
![]()
US President-elect Joe Biden addressing a public forum at the Kenyatta International Conference Center (KICC) in Nairobi on June 9, 2010.
According to a press release from Build Back Better, the transition team of Biden and Vice President-Elect Kamala Harris - the two heads of state discussed three issues including climate change, regional security, and the plight of refugees.
"He conveyed his interest in building on that partnership across a range of issues, including by tackling the threat of climate change, supporting refugees and their host communities, and addressing challenges of regional security and instability," read part of the statement.
Climate change has been one of Biden's focus points during his campaign and discussed the decision to rejoin the historic Paris Agreement on his first day in office.
The Uhuru-Biden commitment to support refugees comes after the Kenyan government revealed that it spends Ksh2 Billion annually to sustain a population of close to 2,000 migrants detained within the country.
Kenya has been experiencing security threats especially emanating from Somalia with the al-Shabaab and recently from the unrest in Ethiopia's Tigray region that has spilled over to Kenya.
In November, Uhuru sent a message of congratulations and best wishes to Biden following his win in the recent US elections.
"Americans have spoken loudly and clearly through their votes by picking a highly experienced, colourfully decorated and long-serving leader to become their next Head of State.
"On behalf of the People and the Government of the Republic of Kenya, I congratulate President-Elect Joe Biden and Vice President-Elect Kamala Harris for their emphatic win and wish them all the best as they prepare to lead the United States of America into a future of prosperity," noted the President.
Biden also held separate congratulatory calls on Tuesday with the leaders of Argentina and Costa Rica as well as with the Secretary-General of the United Nations.
Source: www.kenyans.co.ke
![]()
President Uhuru Kenyatta during a previous meeting: TWITTER