Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Probably namba moja kwa kulamba kmasi za wazunguKwa sasa hivi hapa East Afrika Rais namba moja ni Uhuru na wa mwisho ni Magufuli. Hilo liko wazi kabisa.
Kuliko baba jurgen?.... KabulaKavunja sheria ya ndoa huyu,anapenda sana chini huyu mwenyekiti wenu
Kwani wewe ni MATAGA?Huoni kelele za nyan'gau sio?
SafiiKamanda uchwara.
Na utasikia kuna wengine wanakataaKwa sasa hivi hapa East Afrika Rais namba moja ni Uhuru na wa mwisho ni Magufuli. Hilo liko wazi kabisa.
Ni nani mnafiki kati ya anaelamba kamasi za wazungu wazi wazi na yule anaelamba kamasi za wazungu kwa kificho?Kwa sababu kuna mmoja akiwa majukwaani anawalaani na kuwaponda mabeberu wakati huohuo anatumia mkono wake wa kushoto kuchukua hela zao za kupambana na COVID-19 wakati ameshaiambia dunia kuwa hakuna Corona!Probably namba moja kwa kulamba kmasi za wazungu
Ni nani mnafiki kati ya anaelamba kamasi za wazungu wazi wazi na yule anaelamba kamasi za wazungu kwa kificho?Kwa sababu kuna mmoja akiwa majukwaani anawalaani na kuwaponda mabeberu wakati huohuo anatumia mkono wake wa kushoto kuchukua hela zao za kupambana na COVID-19 wakati ameshaiambia dunia kuwa hakuna Corona!
NonsenseKwa sasa hivi hapa East Afrika Rais namba moja ni Uhuru na wa mwisho ni Magufuli. Hilo liko wazi kabisa.
Kwa lugha ipi?[emoji1]Ingekuwa Magufuli kaongea na Biden hayo makelele ya MATAGA yangeshatutoboa masikio hadi muda huu
Unaelewa masharti ya hizo pesa?Tanzania ilitii masharti ya kutumia hizo hela Kutoka EU pamoja na WHO kama vile kupima watu wengi COVID-19 kadri inavyowezekana na kutangaza kwenye vyombo vya habari kama vile TV,radio,magazeti,e.t.c ni wangapi wamepimwa,wangapi wamekutwa na corona na ni wangapi hawajakutwa na corona?Hela za kupunguza athari ya kiuchumi hakuna korona tz
Raisi D. Trump anaondoa US troops Somalia ndio sababu hasa, lakiniglobalist Biden anataka US army iendelee kubakia Somalia.
Huo ni ufala ambao hatuwezi kufanya ndo maana tumewaambia Hawana uwezo wa kutupangia kituUnaelewa masharti ya hizo pesa?Tanzania ilitii masharti ya kutumia hizo hela Kutoka EU pamoja na WHO kama vile kupima watu wengi COVID-19 kadri inavyowezekana na kutangaza kwenye vyombo vya habari kama vile TV,radio,magazeti,e.t.c ni wangapi wamepimwa,wangapi wamekutwa na corona na ni wangapi hawajakutwa na corona?
Hivi uhuru anatumia kilevi gani? Hana Nuru usoni utadhani mlevi wa gongo na siyo Rais wa nchi.
Sasa kama mliona masharti yao ni ya kijinga kwa nini mchukue hela zao?Huo ni ufala ambao hatuwezi kufanya ndo maana tumewaambia Hawana uwezo wa kutupangia kitu
For which Kenya is paid handsomely, another means of returns 🤣
Sina uhakika na hilo, ila nijuavyo Kenya inapigana vita somalia kwa niaba ya USA na Saudia, ni proxy war, ...