Rais mteule wa Marekani Joe Biden afanya mazungumzo na Rais Uhuru kuhusu mambo mengi

Probably namba moja kwa kulamba kmasi za wazungu
Ni nani mnafiki kati ya anaelamba kamasi za wazungu wazi wazi na yule anaelamba kamasi za wazungu kwa kificho?Kwa sababu kuna mmoja akiwa majukwaani anawalaani na kuwaponda mabeberu wakati huohuo anatumia mkono wake wa kushoto kuchukua hela zao za kupambana na COVID-19 wakati ameshaiambia dunia kuwa hakuna Corona!
 
Hivi uhuru anatumia kilevi gani? Hana Nuru usoni utadhani mlevi wa gongo na siyo Rais wa nchi.
 
Hela za kupunguza athari ya kiuchumi hakuna korona tz
Unaelewa masharti ya hizo pesa?Tanzania ilitii masharti ya kutumia hizo hela Kutoka EU pamoja na WHO kama vile kupima watu wengi COVID-19 kadri inavyowezekana na kutangaza kwenye vyombo vya habari kama vile TV,radio,magazeti,e.t.c ni wangapi wamepimwa,wangapi wamekutwa na corona na ni wangapi hawajakutwa na corona?
 
Raisi D. Trump anaondoa US troops Somalia ndio sababu hasa, lakiniglobalist Biden anataka US army iendelee kubakia Somalia.

For which Kenya is paid handsomely, another means of returns 🤣
 
Unaelewa masharti ya hizo pesa?Tanzania ilitii masharti ya kutumia hizo hela Kutoka EU pamoja na WHO kama vile kupima watu wengi COVID-19 kadri inavyowezekana na kutangaza kwenye vyombo vya habari kama vile TV,radio,magazeti,e.t.c ni wangapi wamepimwa,wangapi wamekutwa na corona na ni wangapi hawajakutwa na corona?
Huo ni ufala ambao hatuwezi kufanya ndo maana tumewaambia Hawana uwezo wa kutupangia kitu
 
Sina uhakika na hilo, ila nijuavyo Kenya inapigana vita somalia kwa niaba ya USA na Saudia, ni proxy war, ...

Serikali ya Kenya inalipwa na wanajeshi waliopo huko wanalipwa pesa nzuri tu.
 
Back
Top Bottom