Rais mteule wa Marekani Joe Biden afanya mazungumzo na Rais Uhuru kuhusu mambo mengi

Rais mteule wa Marekani Joe Biden afanya mazungumzo na Rais Uhuru kuhusu mambo mengi

Sasa na wewe na utu uzima wako unaona kuna lolote la kufurahia hapa? Mbona majiranj bado mko utumwani mnasujudia wazungu karne hii?

Na nyie mjiamini pia muache kuogopa huko eti mnabana matumizi.
 
Hii muhimu sana kwa huyo rais mteule kuanza kuongea na viongozi wenye ushawishi mkubwa duniani kupanga namna ya kuirejesha Marekani kwenye nafasi iliyokua nayo hapo awali kabla kuharibiwa na yule mzee chizi.

An image of Uhuru and Biden

President Uhuru Kenyatta (left) and US President-Elect Joe Biden

President Uhuru Kenyatta on Monday, November 30, engaged in a telephone call with US President-Elect Joe Biden to discuss a number of regional and international issues.

President Kenyatta used the phonecall to convey a congratulatory message on behalf of Kenya, to Biden who won the November 3 election.

The president-elect offered his gratitude for Uhuru's congratulatory message and expressed his appreciation for the strong and lasting ties between the two countries.

US President-elect Joe Biden addressing a public forum at the Kenyatta International Conference Center (KICC) in Nairobi on June 9, 2010.

US President-elect Joe Biden addressing a public forum at the Kenyatta International Conference Center (KICC) in Nairobi on June 9, 2010.

According to a press release from Build Back Better, the transition team of Biden and Vice President-Elect Kamala Harris - the two heads of state discussed three issues including climate change, regional security, and the plight of refugees.

"He conveyed his interest in building on that partnership across a range of issues, including by tackling the threat of climate change, supporting refugees and their host communities, and addressing challenges of regional security and instability," read part of the statement.

Climate change has been one of Biden's focus points during his campaign and discussed the decision to rejoin the historic Paris Agreement on his first day in office.

The Uhuru-Biden commitment to support refugees comes after the Kenyan government revealed that it spends Ksh2 Billion annually to sustain a population of close to 2,000 migrants detained within the country.

Kenya has been experiencing security threats especially emanating from Somalia with the al-Shabaab and recently from the unrest in Ethiopia's Tigray region that has spilled over to Kenya.

In November, Uhuru sent a message of congratulations and best wishes to Biden following his win in the recent US elections.
"Americans have spoken loudly and clearly through their votes by picking a highly experienced, colourfully decorated and long-serving leader to become their next Head of State.

"On behalf of the People and the Government of the Republic of Kenya, I congratulate President-Elect Joe Biden and Vice President-Elect Kamala Harris for their emphatic win and wish them all the best as they prepare to lead the United States of America into a future of prosperity," noted the President.

Biden also held separate congratulatory calls on Tuesday with the leaders of Argentina and Costa Rica as well as with the Secretary-General of the United Nations.

President Uhuru Kenyatta during a previous meeting

President Uhuru Kenyatta during a previous meeting: TWITTER
Source: www.kenyans.co.ke
Haha we mbung'o kweli, Uhuru atachangia tone gani katika kuirejeshea hadhi Us badala ya kukinga bakuli?
 
Yule Kigogo anatumia bendera ya Kenya. Tanzania tuna jirani hatari sana.
Ile bendera haijawekwa tu, everything has a meaning, yule Jay z ni wa marekani.
Ni marekani na wakenya, ukichangia marekani ana base yake nchini Kenya. Na kuna report from Tz inaelezea kabisa.
 
Haha we mbung'o kweli, Uhuru atachangia tone gani katika kuirejeshea hadhi Us badala ya kukinga bakuli?

Kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Afrika atachangia pakubwa.
 
Kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Afrika atachangia pakubwa.
Uhuru hana ushawishi wowote, ameishindwa Kenya watu wanafanya mambo ya hovyo kama nchi haina rais vile
 
Uhuru hana ushawishi wowote, ameishindwa Kenya watu wanafanya mambo ya hovyo kama nchi haina rais vile

Hilo unasema ukiwa hapo Buza umevimbiwa ubwabwa, ila kufikia level ya kuombwa ushauri na rais wa Marekani lazima usiwe mtu wa ze ze ze
 
Hilo unasema ukiwa hapo Buza umevimbiwa ubwabwa, ila kufikia level ya kuombwa ushauri na rais wa Marekani lazima usiwe mtu wa ze ze ze
Nawe unatoa maoni haya ukiwa Kibera na mfuko wako uliowekea kinyesi unasubiri kiza kiingie utupe mferejini.
Uhuru kspigiwa simu lkn maudhui ya maongezi yao hayajawekwa wazi ewe phaller
 
Nawe unatoa maoni haya ukiwa Kibera na mfuko wako uliowekea kinyesi unasubiri kiza kiingie utupe mferejini.
Uhuru kspigiwa simu lkn maudhui ya maongezi yao hayajawekwa wazi ewe phaller

Maudhui yamewekwa wazi, sema labda lugha imekupiga chenga. Simu za kihivi hawapigiwi wasiokua na uwezo kujadili mambo makubwa ya duniani.
 
Maudhui yamewekwa wazi, sema labda lugha imekupiga chenga. Simu za kihivi hawapigiwi wasiokua na uwezo kujadili mambo makubwa ya duniani.
Najaribu kuwaza Jiwe wakijadiliana na rais mteule Biden kuhusu 'climate change' na vitu kama 'global warming'. Hata wakitumia mkalimani hoja kama hiyo haitapanda hata kwa dawa. Labda wajadili kuhusu sura, rangi au hata makalio ya makamu Kamala Harris. [emoji1] Hapo mzee anaweza akatiririka kwa dakika zaidi ya hamsini, maanake hiyo ndio fani yake pendwa. 😁
 
Nafasi na fursa hii anayopata Kenyatta kwa sasa ya kudraw attention ya viongozi wakubwa duniani ilikuwaga inashikiliwa na JK hadi Wakenya mkawa mnanuna nuna sasa saizi huku hatuna mwanadiplomasia ila tuna bulldozer hawezi hata kuongea kizungu ndio maana mnakamatia fursa na kuwa gateway to EAC
 
Niwe mkweli, kipindi cha JK mlikua na kamuamko fulani hivi, mlituhenyesha kiaina, nakumbuka kipindi hicho Tanzania ilikua imerindima kitu mlikua mnaita "Big results now (BRN)", niliwahi kuisoma ni mikakati iliyokua imetulia na kama mngekomaa mpaka kuifanikisha mwisho aisei...... uchumi ulikua unapepea mpaka kwenye 8.3%
Wacha tusubiri labda hii ya sasa mnayoita sijui "tumbua tumbua" labda itawafikisha mahali.
 
Sio tuu hilo kipindi cha JK,marais wote wa Marekani Bush mdogo na Obama walipendelea kufanya TZN kama kitovu chao cha kujaribu kuzuia ushawishi wa China hapa EAC.Kulikuwa na miradi lundo kama BRN,MCC,SAGGOT,Power Africa,Feed the
Future,Kigamboni,Uchumi wa gas,Bagamoyo Port nk nk na Kushamili kwa biashara.Miji ilichangamka kwa ujenzi wa majumba makubwa ya kupendezesha miji na mashirika na makampuni ya ujenzi wa makazi yalikuwa busy kwa kuwa soko lilikuwepo maana kulianza kuchipuka tabaka la middle class.

Ilifika mahali watanzania walianza kupenda kujiajiri kwa biashara kuliko kuajiliwa,sekta binafsi ilianza kukua. diplomasia Tzn ilikuwa na ushawishi mkubwa,nchi ikikohoa hakuna wa kupinga hapa Africa.TZN ilikuwa ni nchi inayopokea pesa nyingi sana za wahisani kuliko nchi yoyote ya Africa ukiacha misaada ya kijeshi,sio kwamba ni ishu ya kujisifia but ilikuwa ni fursa ya kujenga msingi mzuri wa uchumi maana ukweli uyabakia kwamba nchi hii bado ni maskini licha ya uongozi huu kujifariji kwa kujitutumua kwa kudanganya watu.
Hadi leo hii sekta ya elimu,afya na maji zinasapotiwa na wahisani kwa sehemu kubwa.

Sasa tangu aingie bulldozer kaharibu kila kitu bila hata na kuwa na strategy za kukuza uchumi na kuondoa umaskini wa kipato kwa Mtanzania,nchi hii watu hawana shida ya chakula ila wanashida ya pesa.Huyu bwana katembelea nyota za wenzie at the sama time anajisifu na kutukana hata hao sasa yeye saizi kaishia kupika takwimu na kuzuia freedom of expression na demokrasia ambayo was there na mambo yalienda,sijua ana matatizo gani huyu mtu.

Badala ya kurekebisha alichoona ni kibaya kavuruga vuruga wee na kuanzisha mamiladi ya bila kufanya tathmni ya faida na hasara kwenye uchumi na welfare ya watu wake,matokeo yake ile Tzn iliyokuwepo kwenye top ten za ukuaji wa uchumi duniani is no more na idadi ya maskini wanaongezeka huku watu tukiishi kwa hofu na uncetainity kwenye shughuli zetu.

Nakumbuka those days ndio nilianza kufanya kazi baada ya kutoka shule na kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni kwenye makampuni ya biashara yaani shopping mall zile za kenya hususan Uchumi supermarket nikiwa kama real estate officer na baadae nikahamia kwenye kampuni ya ujenzi ya wazawa,kampuni ilikuwa na zaidi ya miradi 12 kwa Dar pekee ya ujenzi wa majengo ya ghorofa ya taasisi na balozi yote sekta binafsi lakini tunavyoongea leo hii,Uchumi supermarket walifungasha virago ndugu yake nakumatt wakati kampuni ya ujenzi ilianza kuyumba kimapato ikabidi nikimbilie kwenye comfort zone kuvuta mda serikalini.

Kwa hiyo nikikumbuka zile nyakati sishangai leo hii ngurdoto lodge kuwa kama hostel
 
Sio tuu hilo kipindi cha JK,marais wote wa Marekani Bush mdogo na Obama walipendelea kufanya TZN kama kitovu chao cha kujaribu kuzuia ushawishi wa China hapa EAC.Kulikuwa na miradi lundo kama BRN,MCC,SAGGOT,Power Africa,Feed the Future,Kigamboni,Uchumi wa gas,Bagamoyo Port nk nk na Kushamili kwa biashara.Miji ilichangamka kwa ujenzi wa majumba makubwa ya kupendezesha miji na mashirika na makampuni ya ujenzi wa makazi yalikuwa busy kwa kuwa soko lilikuwepo maana kulianza kuchipuka tabaka la middle class.
Ilifika mahali watanzania walianza kupenda kuliko kuajiliwa,sekta binafsi ilianza kukua. diplomasia Tzn ilikuwa na ushawishi mkubwa,nchi ikikohoa hakuna wa kupinga hapa Africa.TZN ilikuwa ni nchi inayopokea pesa nyingi sana za wahisani kuliko nchi yoyote ya Africa ukiacha misaada ya kijeshi,sio kwamba ni ishu ya kujisifia but ilikuwa ni fursa ya kujenga msingi mzuri wa uchumi maana ukweli uyabakia kwamba nchi hii bado ni maskini licha ya uongozi huu kujifariji kwa kujitutumua kwa kudanganya watu.
Hadi leo hii sekta ya elimu,afya na maji zinasapotiwa na wahisani kwa sehemu kubwa.
Sasa tangu aingie bulldozer kaharibu kila kitu bila hata na kuwa na strategy za kukuza uchumi na kuondoa umaskini wa kipato kwa Mtanzania,nchi hii watu hawana shida ya chakula ila wanashida ya pesa.Huyu bwana katembelea nyota za wenzie at the sama time anajisifu na kutukana hata hao sasa yeye saizi kaishia kupika takwimu na kuzuia freedom of expression na demokrasia ambayo was there na mambo yalienda,sijua ana matatizo gani huyu mtu.
Badala ya kurekebisha alichoona ni kibaya kavuruga vuruga wee na kuanzisha mamiladi ya bila kufanya tathmni ya faida na hasara kwenye uchumi na welfare ya watu wake,matokeo yake ile Tzn iliyokuwepo kwenye top ten za ukuaji wa uchumi duniani is no more na idadi ya maskini wanaongezeka huku watu tukiishi kwa hofu na uncetainity kwenye shughuli zetu.
Nakumbuka those days ndio nilianza kufanya kazi baada ya kutoka shule na kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni kwenye makampuni ya biashara yaani shopping mall zile za kenya hususan Uchumi supermarket nikiwa kama real estate officer na baadae nikahamia kwenye kampuni ya ujenzi ya wazawa,kampuni ilikuwa na zaidi ya miradi 12 kwa Dar pekee ya ujenzi wa majengo ya ghorofa ya taasisi na balozi yote sekta binafsi lakini tunavyoongea leo hii,Uchumi supermarket walifungasha virago ndugu yake nakumatt wakati kampuni ya ujenzi ilianza kuyumba kimapato ikabidi nikimbilie kwenye comfort zone kuvuta mda serikalini.
Kwa hiyo nikikumbuka zile nyakati sishangai leo hii ngurdoto lodge kuwa kama hostel
Kuna uhalisia kabisa wa unachokizungumza hapa,uzuri muda ni mwalimu mzuri sana
 
Hivi wakati ule Obama alipochaguliwa mkaweka hadi mapumziko mlipata nini.
Halafu rais wenu anadai Kenya ipo huru kutwa analamba miguu ya wazungu
 
Kwahiyo kuongea na Biden peke yake nayo ni habari,kweli wakenya bado mna safari ndefu sana...
 
Wakenya akili zenu mnazijua wenyewe. Hao wamarekani kupitia yule mlimwitaga mkenya mwenzenu waliwatumbukiza kwenye msala wa Al Shabaab. Wanawatumia kama ngao yao. Sasa hapo unategemea aanze kumpigia simu mtu ambaye ameipa kisogo kampuni yao iliyoinyonya nchi kwa muda mrefu aache kuanza na huyu buana ambaye yeye kila kitu "yes sir"?
 
Back
Top Bottom