#COVID19 Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

#COVID19 Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

Ikitokea mauti yakamfika itakuwa ni sahihi pia maana ni ada ya kila mwanadamu kufa, ikizingatiwa na umri wake then it has been long overdue.
 
M7 yupo sana, aisee! Semeni tu lingine. Huyu yuko tayari kupeleka majeshi yake wakalinde amani amani Marekani, ikitokea Putin akamkwida jamaa yenu.
 
Alikuwa na mama maria nyerere wiki iliyopita 🙆🙆 kale kabibi shuhuli yake imefika mwisho
 
kwa hio baada ya kutia saini tu na corona juu ?

aangalie yasije yakamkuta yaliyomkuta Anko Magu maana Beberu akiamua hashindwi kitu
 
View attachment 2649674

Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu.

Mapema Juni 7, 2023 baada ya kutoa hotuba kwa Taifa katika viwanja vya Bunge, Museveni (78), alidokeza kuwa huenda alikuwa ameambukizwa UVIKO-19, baada ya kuhisi baridi kidogo, na kumfanya aombe kufanyiwa vipimo.

Katika kilele cha janga hilo, Uganda ilikuwa na sheria kali za kuzuia na kudhibiti Maambukizi zikiwemo amri za kutotoka nje, kufungwa kwa Biashara, Shule na kufungwa kwa mipaka. Iliondoa vikwazo vyote Februari 2022.

===========

Uganda's President Yoweri Museveni has tested positive for COVID-19, is in good health and will continue his duties, while getting treatment, a senior health ministry official said late on Wednesday.

"Today ...the President tested positive for COVID-19. This was after developing mild flu-like symptoms. However he is in robust heath and continues to perform his duties normally while adhering to SOPs," Diane Atwine, permanent secretary at the health ministry, said on Twitter, referring to standard operating procedures for handling COVID cases.

Earlier on Wednesday after giving a State of the Nation address at the parliament's grounds, Museveni, 78, gave a first hint that he may have contracted COVID, saying in the morning he had felt a slight cold, prompting him to request COVID tests.

He said two of three tests he had done were negative, and he was waiting for the outcome of another.
"So I am a suspect of corona and I am standing here. That is why you saw me coming in separate cars with Mama," Museveni said, referring to the First Lady Janet Museveni, who accompanied him to parliament.

At the height of the COVID-19 pandemic, Uganda had among Africa's toughest containment measures that included curfews, businesses and school closures, the shutting of borders and other steps.
It fully reopened in February 2022.

During the pandemic, Museveni, who is vaccinated against COVID, was always been seen in public wearing a mask and has always conducted his official duties while social distancing and would often be seen seated alone in a tent on the lawn of his office when meeting visitors.

CITIZEN DIGITAL
"When I hear somebody sigh, 'Life is hard,' I am always tempted to ask, 'Compared to what?'" What a word!!
 
Huyu mzee hadanganyi umri kweli? Muda wote aliokaa madarakani? Au aliingia akiwa kijana sana.
 
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, 78, alitangaza Alhamisi kwamba alikuwa amechukua “likizo ya lazima” baada ya kugundulika kuwa na Covid-19.

“Jana asubuhi, niliona dalili zinazofanana na homa kali,” mkuu wa nchi aliandika katika taarifa, akiongeza kuwa kipimo kilithibitisha kuwa alikuwa ameambukizwa virusi vya Covid-19.

“Unakumbuka nilipopoteza sauti yangu mara mbili wakati wa uchaguzi? Hiyo ni sehemu ya allergy. Kwa hivyo, nimepata likizo ya pili katika miaka 53 iliyopita, tangu 1971, tulipoanza kupigana na Idi Amin wakati, nilipokuwa na tatizo la sinuses na ilinibidi kupumzika kwa siku kadhaa,” Rais, ambaye amekuwa mamlakani tangu 1986 aliandika kwenye Twitter Alhamisi.

Museveni, mmoja wa viongozi waliokaa muda mrefu zaidi duniani, ametawala nchi yake ndogo ya Afrika Mashariki kwa mkono wa chuma kwa miongo kadhaa.

Mara baada ya kusifiwa kama mwanamageuzi, alichukua hatamu ya Uganda mwaka 1986, akisaidia kukomesha tawala za kimabavu za Idi Amin Dada na Milton Obote.

Lakini kiongozi huyo wa zamani wa waasi tangu wakati huo amekabiliwa na upinzani na kubadilisha katiba ili kujiweka madarakani.

Nchini Uganda, ukandamizaji wa mashirika ya kiraia, wanasheria na wanaharakati umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, kulingana na mashirika mengi ya haki za binadamu.

Kulingana na Wizara ya Afya, Uganda imerekodi rasmi kesi 170,255 za maambukizo ya coronavirus na vifo 3,632 tangu kuanza kwa janga hilo mnamo 2020.
 
Hivi inawezekana hii ikawa ndiyo kama ile safari as our early day to our country?.
 
majaribu yapo nilitaka kuacha pombe ila nilikapata cha moto.na ushoga utakomeshwa yupo kwenye kisa cha mtume
 
Back
Top Bottom