Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

"Kama ni kufanya,fanyeni nyie wakubwa kwa wakubwa mnaojua haki zenu,msituharibie watoto wetu" Samia Hassan Kikwete
 
Hakuna kufungwa maisha bali ametia saini kwa "MTU YEYOTE ATAKAYEJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA, ADHABU YAKE NI KIFO" Rekebisha habari yako.
 
Wangekuwa serious na hiyo ishu,
Wangeanza kuwafunga maisha mtu na kaka yake wanaopakuana!....Jose Chameleon na Weasle.
 

Attachments

  • images - 2023-05-29T201834.537.jpeg
    9.1 KB · Views: 3
  • download (4).jpeg
    8.1 KB · Views: 4
  • download (6).jpeg
    10.6 KB · Views: 2
  • images - 2023-05-29T201806.326.jpeg
    8.5 KB · Views: 2


Mimi nafikiri aliyethibitika kubenjuliwa ndiye apigwe mvua ya maisha na anayebenjua apigwe mvua 15 au zaidi kidogo.

Kwasababu kubenjua sio sawa na kubenjuliwa, yaani dume zima kwa hiyari yake linabenjuka ili libenjuliwe na dume mwenziye!!😏😏
 
Hakuna utofauti vyote ni vinyeo vinavyotoa mavi..mavi ni yale yale🤮🤮🤮
lakini sasa kuna stereotypes.... umeshakubali kwamba ni tofauti, lakini watu wanaona wanawake kuingiliwa ni sawa, pia usagaji(lesbianism) ni sawa..... una dhani kwa hizi double standards kuna kitu tunafanya eti 'kuzuia ushoga'
 
huu mchezo msije kujaribu.kuna jamaa anaitwa zuberi alikuwa anawala mashoga njia ya haja ndogo iliziba sababu ya kinyesi .haja ndogo ikawa haitoki wakaenda kumpasua.utamuonea huruma anavyolalamika maumivu.
 
weasle ni marehemu kitambo acha upumbavu.
Pumbaavu zako! Kati ya mimi na wewe nani mpumbavu!? Weasle alikufa lini!?

Au unakurupuka ama umekaririshwa!? Unamjua Weasle manizo wa good lyfe we Choko!

Unamfananisha Weasle na mowzey radio!? Usikariri,usikaririshwe upumbavu!
 

Attachments

  • unnamed.png
    131.6 KB · Views: 3
Ukifuatilia comments za baadhi ya wazungu leo utacheka tu wanavyoiponda serikali
Na sio nchi nzima mashoga au wanakubali huu ufuska
Wanasema ni nchi yao na wana maamuzi yao waachwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…