Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

Kukomesha ushoga sio lazima kutunga sheria serikali kupitia usalama wanaweza kuwapoteza mashoga 1 baada ya muingine kimia kimia kama wanavio wafanya waasi wa jeshi
Kila siku mashoga wanazaliwa, mtakuwa mnawaua mpaka lini?

Yale yale ya imani za kishirikina za kuwaua maalbino.
 
Isije kuwa anapitisha sheria ambazo zitakuja kumkaanga mwenyewe au zikigusa familia yake anapindisha😀😀maana Kuna president Fulani WA nchi 1 Asia ,alishaga weka sheria mtu akikamatwa na drugs anyongwe eeh bwana si siku akadakwa mwanae WA kiume na drugs ,akasema msinichezee😀😀hanyongwi mtu hapa,
 
Zitawakaamga shasi yeye hana Cha kupoteza
 
Kila siku mashoga wanazaliwa, mtakuwa mnawaua mpaka lini?

Yale yale ya imani za kishirikina za kuwaua maalbino.
Kaka akili Yako nimelikubali upo vizuri,waafrica tunapenda sana kutumia nguvu kuliko akili na mu7 kaziiliasha ilo ni kama amekosa solutions za kukomesha ushoga na anakimbilia sheria mbovu za kifungo cha maisha, nimekaa nikajifikiria na sikubaliani na iyo sheria,tukumbuke hakuna mzazi anayeomba mtoto wake awe shoga ni inatokea kama ajali tu,Kwa mfano umeamka tu asubuhi unaskia mtoto wako kadakwa kumbe ni shoga na anaenda nyuma ya nondo maisha Bado utashangilia?😀😀ndo maana ata bungeni Tanzania hii issue hawakutaka kuikurupukia maana mule bungeni Kuna wabunge wanawatoto mashoga na wengine ni mashoga,ukikurupuka kwenye baadhi ya vitu vinaweza baadae kukurudia,na museveni ni mhuni sana anajua kupindisha sheria siku ikimrudia kwenye familia yake atokubali ndugu yake afungwe maisha iyo ni kaipitishwa Kwa sababu ya watumwa wake😀😀Kuna kipindi bhana rais Mmoja WA nchi Moja ipo Asia alipitisha sheria ya kunyongwa ukikamatwa na dawa za kulevya,mungu si Athumani haukupita muda mrefu akadakwa mwanae WA kiume WA kumzaa na drugs 😀😀jamaa akukubali mwanae wamnyonge
 
Lakini kwanini wazungu wanaabudu uffirajji?
Dunia ina mambo mengi ya siri vitu vingi tunavoviona na kuaminishwa vingi sio vitu vya ukweli, kuna watu wapo nyuma ya ulimwengu wana control dunia watakavyo, kuhusu ushoga kuna watu wananufaika kimaslai na kiutawala, kama ambayo watu wananufaika kupitia ugonjwa wa ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…