Rais Museveni asimamisha msafara wake na kuketi barabarani kupokea simu ya mkononi

Rais Museveni asimamisha msafara wake na kuketi barabarani kupokea simu ya mkononi

Heheehhe alivyovaa sasa hiyo suti ,wananchi wamechokajee

Wananchi wamechoka sana katika picha, sijui Mh. Rais Museveni anajisikia vipi akiwaona wananchi waliojitokeza na ''kumsimamisha'' hali zao halisi na kama ana mpango/mikakati endelevu ya kuchukua hatua kupiga vita umasikini ndani ya miaka yake mitano waliompa tena kuongoza nchi.
 
Atakuwa alikuwa akiongea na bi mdogo (Mchepuko).Bi mdogo ana hadhi yake ukitaka kuongea naye ni siri ya wawili.Chezea mchepuko
 
Ila hao wanajeshi ni pambo tu..walipaswa kufunga barabara kwanza kwa muda maana naona vitz inakatiza hapo...sasa akitokea mwehu kaipa mafuta akinyoosha hapo alipokaa Rais si ndio game over?
 
Ila hao wanajeshi ni pambo tu..walipaswa kufunga barabara kwanza kwa muda maana naona vitz inakatiza hapo...sasa akitokea mwehu kaipa mafuta akinyoosha hapo alipokaa Rais si ndio game over?
Na kwakweli sidhani kama kuongea na simu muhimu kulihitaji maandalizi yote hayo. ...halafu hii michezo yake hii aungeifanyia Kampala sehemu kama Nakasero
 
1916aa7ae85f877c6f8c141d7844fb68.jpg

Muda sio jambo la muhimu Africa.. Tunajiendeaendea tu..

"...Waafrika wana saa lakini hawana muda .."
 
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekuwa gumzo leo kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha yake kuzagaa akiwa pembezoni mwa barabara aliposimamisha msafara wake ili aongee na simu.

Anaongea na Salva kiir khs Hali ya juba, soon majeshi ya Uganda yatarudi south Sudan
 
Back
Top Bottom