sio tuu nimeambiwa hapana bali nimeambiwa na mtu ambae anaingia uzeeeni sasa kafanya kazi serikalini toka enzi za habyarimana hado PK, mimi habari za mtandaon sizipi uzito sana sababu naweza andika hata habari kwenye website yangu nikulee halafu uamini wakati mimi niliekua nachati na wewe ndo maneno yangu tena.
ok sasa skika just google utaona habari kibao za mkono wa marekani a ufaransa kwenye hii ishu na kwanini hado leo kagame na rwanda hazipandi kabisa natumaini huko utapata hizi habari lakin mimi niko deep nilitumia 3 days kwa maongezi ya mdomo na mzee wangu. huko natumai utapata habari zikiwa tofauti na zangu nitaamin mzee alikua mwongo