God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
hii habari kuna sehemu niliipata kwa mtu ambae ni mnyarwada kafanya kazi huko serikalini mda mrefu sana saivi ni mtu mzima i mean age imeenda sanda. pia hizo source unazozitaka wewe si ndo zinazoandikwa na binadamu kama sisi au? mfano kama nina blog au website ntashindwa andika huko vitu? pengine niwaingize mkenge wengi? au unazungumzia source gan?Weka valid source hapa.
ndio kaitesekea sana, kwake ali sakrifai maisha yake kipind anapigana bush warYaani huyu jamaa hiyo nchi ni ya kwake kabisa.!
Dunia ya sasa hivi habari za ooh niliambiwa, Ooh nimesikia hazina nafasi Mkuu. Njoo na concrete evidence then mjadala utaendelea hapo Mkuu.hii habari kuna sehemu niliipata kwa mtu ambae ni mnyarwada kafanya kazi huko serikalini mda mrefu sana saivi ni mtu mzima i mean age imeenda sanda. pia hizo source unazozitaka wewe si ndo zinazoandikwa na binadamu kama sisi au? mfano kama nina blog au website ntashindwa andika huko vitu? pengine niwaingize mkenge wengi? au unazungumzia source gan?
sio tuu nimeambiwa hapana bali nimeambiwa na mtu ambae anaingia uzeeeni sasa kafanya kazi serikalini toka enzi za habyarimana hado PK, mimi habari za mtandaon sizipi uzito sana sababu naweza andika hata habari kwenye website yangu nikulee halafu uamini wakati mimi niliekua nachati na wewe ndo maneno yangu tena.Dunia ya sasa hivi habari za ooh niliambiwa, Ooh nimesikia hazina nafasi Mkuu. Njoo na concrete evidence then mjadala utaendelea hapo Mkuu.
Narudia tena Mkuu habari ya kuambiwa na mzee wako hata kama angetumia miezi 4 kukuhadithia still sio concrete evidence hapa. Weka evidence ya maana tujadili hapa.sio tuu nimeambiwa hapana bali nimeambiwa na mtu ambae anaingia uzeeeni sasa kafanya kazi serikalini toka enzi za habyarimana hado PK, mimi habari za mtandaon sizipi uzito sana sababu naweza andika hata habari kwenye website yangu nikulee halafu uamini wakati mimi niliekua nachati na wewe ndo maneno yangu tena.
ok sasa skika just google utaona habari kibao za mkono wa marekani a ufaransa kwenye hii ishu na kwanini hado leo kagame na rwanda hazipandi kabisa natumaini huko utapata hizi habari lakin mimi niko deep nilitumia 3 days kwa maongezi ya mdomo na mzee wangu. huko natumai utapata habari zikiwa tofauti na zangu nitaamin mzee alikua mwongo
nitawekaje evidence wakati nimekuambia sijasoma mtandaoni? mimi nimekuambia kufupisha mjadala we katafute huko mtandaoni ukikuta habari tofauti leta tuongee. siwezi kudanganya sijasoma mtandaoni siwez kukupa evidenceNarudia tena Mkuu habari ya kuambiwa na mzee wako hata kama angetumia miezi 4 kukuhadithia still sio concrete evidence hapa. Weka evidence ya maana tujadili hapa.
Kwa hiyo huyu hapo anaweza kuwa ndio huyo mwalimu?Kiki nyingine za kipuuzi sana
Huyu mzee pale Kampala kuna msanii mmoja alikuwa mwalimu, basi jamaa huwa anajifanya yeye ni M7 , na Museveni mwenyewe kakubali na kumuajiri kabisa
Kuna misafara hupita mjini na jamaa huyo msanii akijifanya ni M7 upuuzi mtupu
Hahahaha huenda ikawa ni simu ya "Msaidizi wa Mama Janeth kwenye Wizara ya Mambo ya Ndani"Simu hiyo inaonekana ilikuwa muhimu sana kiasi Rais hakutaka mazungumzo yake kusikilizwa na wasaidizi wake wala walinzi wakec
Basi Sawa then as long as hakuna evidence, hakuna hoja haponitawekaje evidence wakati nimekuambia sijasoma mtandaoni? mimi nimekuambia kufupisha mjadala we katafute huko mtandaoni ukikuta habari tofauti leta tuongee. siwezi kudanganya sijasoma mtandaoni siwez kukupa evidence