#COVID19 Rais Museveni: Serikali kugawa barakoa kwa Waganda wote wenye umri wa kuanzia miaka 6

#COVID19 Rais Museveni: Serikali kugawa barakoa kwa Waganda wote wenye umri wa kuanzia miaka 6

Kila mmoja apambane na hali yake

Ya Uganda au Kenya,Sisi hayatuhusu

Ni ajabu kwa Mbongo kushabikia asiyoyajua....ajabu sana!!!!

Waganda na Wakenya,wengi wanatamani ya Tanzania...
Uganda na kenya wanatamani ya tz? Like seriously?
How many times nishasema hizo nchi sio koloni la Tanzania..
Waachwe kama walivyo. Si wana sheria zao na maamuzi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja apambane na hali yake

Ya Uganda au Kenya,Sisi hayatuhusu

Ni ajabu kwa Mbongo kushabikia asiyoyajua....ajabu sana!!!!

Waganda na Wakenya,wengi wanatamani ya Tz......

Ila vigwaguro....wanapiga kelele sijui kwa maslahi ya nani....!!!

Wapuuzi wakubwa nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wajinga sana mkuu ndio maana mbowe anawapiga bil 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila yupo vizuri huyu mzee kawahasa waganda kila mtu afate maelekezo ya wataalam,kawaambia hakuna aliye bora kuliko mwingine
 
Lumumba msikilize Museveni anavyoongea kuhusu corona nchini mwake mfanye ulinganisho.
Najua mtanipiga madongo, lkn nawaomba mlinganishe hotuba za Mbowe, Museveni Na Mh Rais.
Kwa nini unamlinganisha Mbowe na marais wa nchi?
 
1589834226131.png


Katika harakati za kupambana na janga la Covid 19 nchini Uganda, Rais wa Nchi hiyo Yoweri Museveni amesema kuwa serikali itawagawia wananchi wake wote Barakoa. Aidha, Rais ameweka bayana kuwa ugawaji wa Barakoa hizo utawalenga watu waliokuwa na umri wa miaka 6 na kuendelea.

Katika zoezi hilo Serikali ya Uganda imeamuru kuwa pindi barakoa hizo zitakapogawiwa watalazimika kuvaa muda wote wanapokuwa kwenye halaiki.

=======
All Ugandans aged six and above will be given free facemasks in a bid to protect themselves against the spread of coronavirus, President Museveni has said.

“This mask must be worn all the time when you are in public. Whether you are sneezing, talking or coughing. Since many people raised the issue that they cannot afford these masks, the gov’t has decided to provide these masks to all Ugandans 6 years and above,” Mr Museveni said in a televised address to update Ugandans on government efforts against the spread of the virus which has left 227 people in the country infected.

According to the president, children less than age six cannot safely wear these masks
.
“These masks, like mosquito nets, will be distributed through the LC system. One mask per person of age 6 and above will be given. It must be worn all the time when you are in public,” he said.

Therefore...moving forward from 20th May 2020 - tomorrow (May 19), given the knowledge we now have, we shall move as follows..

1. Once issues of the masks is addressed, shops selling general merchandise will open if they are not in shopping arcades, food markets and arcades.

Public transport
Public transport will resume around June 2, 2020 after all Ugandans get face masks.
"The masks will take two weeks to be ready. Two weeks will be ... like June 2. However, this opening of public transport will not be allowed in the border districts of Uganda for another 21 days. And when the taxis resume, I don't want to hear of brokers and these noisemakers in the park. Since it is impossible to space out the passenger and the boda boda rider, boda bodas and tuk tuks will not be allowed to carry passengers," he said.

Salons
Bars, salons, gyms and swimming pools will remain closed for the next 21 days.
"For the bars and salons, since they cannot observe the rules of social distancing, they will not be allowed to open for another 21 days, this includes, gyms and swimming pools," Mr Museveni said.

Private cars
People with private cars will be allowed to drive as long as the car doesn’t carry more than three people.
"Three people includes the driver. This will require you to wear a proper mask," Mr Museveni said.

Curfew extended for another 21 days
The president also said curfew will remain unchanged for another 21 days.

Source: Daily Monitor
 
Kwa nini unamlinganisha Mbowe na marais wa nchi?
He is a good politician hata kuwazidi hao marais. Ndugai anacukua the whole day kumdhihaki Mbowe, huoni kuna kitu nyuma yake! Unajua Rais siyo kuwa anawazidi wananchi akili, ni kuwa ni NGEKEWA kuchaguliwa akisaidiwa na nguvu ya vyomvo vya ukatili na ukandamizaji! Wakiwa nje ya hapo ni wepesi sana! sawa na mimi na wewe au tunawazidi! Trump ni kichwa kitupu!
 
May 18, 2020
Uganda President Museveni`s 14th Nation Address


Measures on easing the lockdown with compulsory wearing of masks : play video from 1:11:10' below :

a). Shops selling general merchandise provided they aren’t in malls or arcades and required to observe social distancing.

b). Market vendors allowed to go home and come back to work.

c). Regulated reopening of public transport I.e buses, mini buses, provided they carry a half (50%) of their normal passenger capacity; except for the border districts of Uganda for another 21 days.

The RIGHT masks will take 2 weeks to be ready hence effective 2 June 2020.

d). Boda bodas and Tuk Tuks will not carry passengers. Only limited to Cargo.

e). Bars, salons, night clubs, gyms, saunas remain closed for another 21 days.

f). International Borders of Uganda and the Airport will remain closed.

g). To reopen schools for final/candidate classes. Only final examinations will be issued. Ministry of Education will need about 2 weeks planning to implement the same.

h). Curfew remains from 6:30am to 7pm for another 21 days.

i). Restaurants and hotels will open as long as they observe social distancing.

j). People with private cars will be allowed to drive as long as they do not exceed three passengers including the driver.

K). All other directives remain operational for the next 21 days

L). Some sectors of the economy like tourism will remain partially shut down.

M). On the issue of Ugandans trapped abroad, these are still part of the banned International travel.

The main factor is the health consideration and risk of the large numbers from abroad without a vaccine and inability to adequately quarantine all for safety.

The ultimate decision will rest upon cabinet.

There will be a transparent policy on how Ugandans in the diaspora who need to be rescued will be handled.
 
Museveni amepokea mkopo kutoka imf ili apambane na corona
Kwahiyo lazima awafurahishe Wazungu,huo mkopo hauna riba akikiuka mashariti lazima Imf imuadhibu

Nafurahi sisi Tanzania tumishinda corona kwa juhudi za Ndani tukiongozwa na Rais Magufuli
Sitaki hizi mbichi...

Pesa tuliomba na tukanyimwa.

Mseven yupo smart sana sio huyu aliyewaroga hata aongee pumba nyie mnapiga vigeregere na makofi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom