Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Umeandika uzushi na uwongo
Huo uwongo wenu wa chadema mwisho October tuwafute
Huo uwongo wenu wa chadema mwisho October tuwafute
Wewe unaota...eti tumeshinda Corona kwa juhudi za ndani tukiongozwa na rais? Rais yupi aliyekimbia Ikulu kwa siku 38, alifanya juhudi gani zaidi ya kuiba Ventilator mbili za Bugando kwa ajili ya familia yake. Rais Magufuli ni mbinafsi asiyefaa. Mnamsifia kama Kim Jong UN. Magufuli kafanya nini kwenye CORONA? Zaidi ya kuwa denier wa ugonjwa, watanzania wanakufa bila sababu na wanakubali kuendelea kudanganywa na huyo rais asiyejua analolifanya.Eti umeshinda CORONA? Are you out of your mind? umeishindaje wakati wananchi wanakufa kwa mamia na kuzikwa kwa siri? Umeishindaje wakati serikali imekataa kuwapima hata wagonjwa kwa kisingizio kuwa wagonjwa wakipimwa wanapatwa kuwa Positive.