#COVID19 Rais Museveni: Serikali kugawa barakoa kwa Waganda wote wenye umri wa kuanzia miaka 6

Ha ha ha, eti Wakenya na Waganda wanatamani Tanzania?
Mnalishwa nini nyie? Shuntama? Watu wanakudharau kisha wakutamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa sana tufuate njia hizi,sio total lockdown
 
Museveni amepokea mkopo kutoka imf ili apambane na corona
Kwahiyo lazima awafurahishe Wazungu,huo mkopo hauna riba akikiuka mashariti lazima Imf imuadhibu

Nafurahi sisi Tanzania tumishinda corona kwa juhudi za Ndani tukiongozwa na Rais Magufuli
hizi propaganda katafute wa kumdanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba msikilize Museveni anavyoongea kuhusu corona nchini mwake mfanye ulinganisho.
Najua mtanipiga madongo, lkn nawaomba mlinganishe hotuba za Mbowe, Museveni Na Mh Rais.
Tumsikilize museveni itatusaidia nini?
Rais yupo madarakani kwa miaka 40,halafu unafanya la maana kumlinganisha na mbowe wako mwenye divion zero ya form six
 
Museveni amepokea mkopo kutoka imf ili apambane na corona
Kwahiyo lazima awafurahishe Wazungu,huo mkopo hauna riba akikiuka mashariti lazima Imf imuadhibu

Nafurahi sisi Tanzania tumishinda corona kwa juhudi za Ndani tukiongozwa na Rais Magufuli
Wewe unaota...eti tumeshinda Corona kwa juhudi za ndani tukiongozwa na rais? Rais yupi aliyekimbia Ikulu kwa siku 38, alifanya juhudi gani zaidi ya kuiba Ventilator mbili za Bugando kwa ajili ya familia yake. Rais Magufuli ni mbinafsi asiyefaa. Mnamsifia kama Kim Jong UN. Magufuli kafanya nini kwenye CORONA? Zaidi ya kuwa denier wa ugonjwa, watanzania wanakufa bila sababu na wanakubali kuendelea kudanganywa na huyo rais asiyejua analolifanya.Eti umeshinda CORONA? Are you out of your mind? umeishindaje wakati wananchi wanakufa kwa mamia na kuzikwa kwa siri? Umeishindaje wakati serikali imekataa kuwapima hata wagonjwa kwa kisingizio kuwa wagonjwa wakipimwa wanapatwa kuwa Positive.
 
Museveni amepokea mkopo kutoka imf ili apambane na corona
Kwahiyo lazima awafurahishe Wazungu,huo mkopo hauna riba akikiuka mashariti lazima Imf imuadhibu

Nafurahi sisi Tanzania tumishinda corona kwa juhudi za Ndani tukiongozwa na Rais Magufuli
Unayoyaandika kila siku hapa Jf ni ushahidi kwamba mkiwa cccm hamruhusiwi kuwa na akili timamu
 
Lumumba msikilize Museveni anavyoongea kuhusu corona nchini mwake mfanye ulinganisho.
Najua mtanipiga madongo, lkn nawaomba mlinganishe hotuba za Mbowe, Museveni Na Mh Rais.

Why ulinganishe watu ambao aliewaumba aliwayofautisha?
Unataka kusema nini?
Kamwe Museveni hafanani na mwingine.
 
Wa
Unayoyaandika kila siku hapa Jf ni ushahidi kwamba mkiwa cccm hamruhusiwi kuwa na akili timamu
Wafuasi wote wa vyama vya siasa hamruhusiwi kuwa na akili tegemezi, daima mnadumisha fikra za mwenyekiti bila kuhoji
 
Afu hii tabia ya kulinganisha kila kitu haina maana...sisi waafrika huu ugonjwa utatuacha ma makovu makubwa kwa sababu nchi nyingi zimekurupuka sana,,,Mh Rais kwenye hili swala la Corona japo hajachukua tahadhari kubwa ila kitendo cha kuwatoa watu hofu ni ushindi mkubwa na watu hofu imewaisha...Soon Uganda,Kenya nk wataanza kulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why ulinganishe watu ambao aliewaumba aliwayofautisha?
Unataka kusema nini?
Kamwe Museveni hafanani na mwingine.
Mtihani maana yake ni nini? Mtihani ni kulingannisha vitu viwili au zaidi tofauti na ku judge uelewa wao! Hapa tunaangalia mtu /intellect yake ya kuhandle vitu vinavyofanana!
 
Ukiwa huna hofu wadudud wanakukimbia? Uganda hawana kifo hata kimoja, Kenye vipo. Hapa ni vingi zaidi ila havisemwi lkn watu wanaona.
 
Mtihani maana yake ni nini? Mtihani ni kulingannisha vitu viwili au zaidi tofauti na ku judge uelewa wao! Hapa tunaangalia mtu /intellect yake ya kuhandle vitu vinavyofanana!

Simple logic
HAWAFANANI.... NA KAMWE HAWATOKAA WAFANANE.

SISI WATANZANIA WAKENYA TUNAUNGANA NA MUSEVENI PAMOJA NA MAAMUZI YOTE YA SERIKALI YA KENYA AGAINST TANZANIA MSAMBAZA VIRUS.
HATUNA ZURI TUNALIONA KWA TAIFA LETU NA TUKO TAYARI KUTETEA NCHI NYINGINE KWA LOLOTE KINYUME NA NCHI YETU LAKINI TUNAISHI NCHINI
 
Huyo mzee aendelee kutoa updates zake, sisi Watanzania haituhusu.

Tunajua namna ya kuchukua tahadhari na namna ya kujikinga sisi na kukinga familia zetu, tutaendelea na shughuli zetu za kujikimu kiuchumi sisi wenyewe na familia zetu.

Watanzania tunajua namna ya kufikiri, na namna ya ku_deal na masuala yanayotuhusu kulingana na mazingira yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…