#COVID19 Rais Museveni: Serikali kugawa barakoa kwa Waganda wote wenye umri wa kuanzia miaka 6

Umeandika uzushi na uwongo

Huo uwongo wenu wa chadema mwisho October tuwafute
 
Ndugai anamuonea wivu Mbowe toka wako Kibaha Secondary, Mbowe amekuwa mtoto wa Familia Bora yeye akitoka kwenye vumbi Kongwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba msikilize Museveni anavyoongea kuhusu corona nchini mwake mfanye ulinganisho.
Najua mtanipiga madongo, lkn nawaomba mlinganishe hotuba za Mbowe, Museveni Na Mh Rais.
Achana na hao wazee, Na usimulinganishe Magufuri na Marais vilaza
 
Wengi wetu walitegemea mu7 ataongea negative kuhusu Tanzania ili wapate cha kuongea,sijui wanajisikiaje baada hotuba ya mu7 😀
 
Wengi wetu walitegemea mu7 ataongea negative kuhusu Tanzania ili wapate cha kuongea,sijui wanajisikiaje baada hotuba ya mu7 😀
Kuna ugomvi kati yetu na yeye? Mbona unafikiri nje kabisa ya mtu moderate
 
Kama magufuli alivyo kwisha sema before kua Hana imana na vipimo huenda ikawa kweli hotuba ya Jana ya Rais kaguta museven alipo kua analiutubia taifa kasema kua wakenya wamekua sababu kubwa ya maambukiz nchin Uganda.

So napenda niwaulize ndugu zangu wakenya wanamaon gani juu ya wao kuambiwa wanasambaza Corona nchi jiran ilihali wao wapo Lock down maambukizi wanayatoa wapi ya kuwatosha wao na kuwapelekea majiran zao


Za chini chini nasikia Uganda anataka kuwapinga pin wakenya sijui wataambia nn watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…