Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni sehemu ya maandalizi ya kuimarisha miundombinu ya michezo na maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini.

 
but he is talkng bs, tanzagiza hakuna mtu analipa kodi, si dereva taxi, daladala, mwenye maduka na fremu, migahawa mpaka hoteli kubwa za kitalii sasa hiyo faida na mzunguko wa fedha anaouongelea itatokea wapi?

analinganisha mambo yasiyo lingana nchi za huko nje hakuna kitu unaweza kununua ambacho hakijakatwa kodi (vat) hivyo it makes sense unaweza kusema labda itachangia kukua kwa uchumi, lkn kama tanzagiza hakuna anayelipa kodi huo uchumi utakuwa kivipi?

mtu pekee anayelipa kodi tanzagiza ni mfanyakatzi anayekatwa paye mwisho wa mwezi kwa lazima basi, tunawatliwa na watu wasioelewa chochote kuhusu jinsi ya kuendesha nchi na ndiyo maana hatutoki hapa,

swali ni kwamba hilo deni litalipwaje? ...
 
but he is talkng bs, tanzagiza hakuna mtu analipa kodi, si dereva taxi, daladala, mwenye maduka na fremu, migahawa mpaka hoteli kubwa za kitalii sasa hiyo faida na mzunguko wa fedha anaouongelea itatokea wapi?

analinganisha mambo yasiyo lingana nchi za huko nje hakuna kitu unaweza kununua ambacho hakijakatwa kodi hivyo it makes sense unaweza kusema labda itachanhgia kukua kwa uchumi, lkn kama tanzagiza hakuna anayalipa kodi huo mzunguko wa fedha utatokea wapi?

mtu pekee anayelipa kodi tanzagiza ni mfanyakatzi anayekatwa paye mwisho wa mwezi kwa lauzima basi ...
Nenda kafungue kibanda cha chips uone moto wa TRA
 
Nenda kafungue kibanda cha chips uone moto wa TRA

usiongelee kodi ya kulipia tra ya sijui kwa mwezi au mwaka, kodi ninayoongelea ni kwa mfano huyo muuza chips alipaswa kwa kila sahani anayouza ikatwe vat kama chips mayai sahani kwa mfano ni 2000 basi labda 200 ni kodi na kila mahali iliapaswa iwe hivyo, kama guest house kwa kila kitanda kinacholaliwa kikatwe vat, kama ni grocery kila chula ya bia au coca sehemu mteja anayolipia ikatwe vat, daladala au boda boda kila nauli unayolipia ikatwe vat na risiti upewe sasa hapo ndipo unaweza mwishowe kusema kwamba umechangia kwenye uchumi i.e hakuna kinachopaswa kuuzwa bila ya vat bila ya hivyo hakuna kitu, hata waje wageni milioni 10 mwisho hautaona tofauti yoyote kwenye uchumi wa nchi ...
 
usiongelee kodi ya kulipia tra ya sijui kwa mwezi au mwaka, kodi ninayoongelea ni kwa mfano huyo muuza chips alipaswa kwa kila sahani anayouza ikatwe vat kama chips mayai sahani ni kwa mfano ni 2000 basi labda 200 ni kodi na kila mahali iliapaswa iwe hivyo, kama guest house kwa kila kitanda kinacholaliwa kikatwwe vat, kama ni daladala au boda boda kila kila nauli unalipa ikatwe vat na risiti upewe sasa hapo ndiyo unaweza mwishowe kusema kusema kwamba umechangia kwenye uchumi i.e hakuna kinachopaswa kuuzwa bial ya vat bila ya hivyo hakuna kitu ...
Ndio maana nimekwambia moto wa TRA
Hio VAT wanapanga wao, na mauzo yako kwa siku wanakukadiria wao hata kama hayalingani na uhalisia wa mauzo yako
 
Ndio maana nimekwambia moto wa TRA
Hio VAT wanapanga wao, na mauzo yako kwa siku wanakukadiria wao hata kama hayalingani na uhalisia wa mauzo yako

maadamu wafanyabiashara hawana na hawatumii cash register, hakuna kitu hapo ...
 
Back
Top Bottom