olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Kuanzia jana na leo , kuna kikao kikubwa sana kinachofanyikia Zanzibar ,kilichoratibiwa na wizara ya TEHAMA chini ya waziri Nape Nnauye Pamoja na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.
Jumuia ya madola inafanyia kikao hicho kwa mara ya kwanza nchini Tanzania , haya yakiwa matunda ya jitihada za serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr Samia , Raisi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Dr Mwinyi na waziri anayesimamia wizara ya TEHAMA Nape .
Nafasi hii ya kikao cha jumuia ya madola kufanyika hapa nchini ni fursa kubwa kwa sekta binafsi na za umma katika mageuzi makubwa ya uchumi wa kidigitali.
mwenyeji ni
H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi
President, Revolutionary Government of Zanzibar
moja ya watoa maada ni
1.Hon. Dr Khalid Salum Mohamed
Minister of Infrastructure, Communication and Transport, Revolutionary Government of Zanzibar
2.Eng OthmanSharif Khatib
Board-Chairman, Tanzania Communications Regulatory Authority
3.Bernadette Lewis
Secretary-General, Commonwealth Telecommunications Organisation
4.Sherry-Ann Sealey
Manager HR, Telecommunications Authority of Trinidad and Tobago and Chair, Programme for Development and Training, CTO