Ni kupoteza muda tuKwani zile ziara za kushtukiza za huku bara zilizaa matunda yoyote?[emoji1787]
Hizi ni mbwembwe kuwalisha imani ya uongo raia.
Wamepewa script na directorWazanzibar nao wamekuwa wakiiga upuuzi wa bara sijui kwanini?
Ndiyo maana wamekuwa kama wilaya ndani ya bara.Wamepewa script na director
Ukiwaambia wakupe hesabu zao za ‘service costing’ ya kumwangalia huyo mtoto njiti si ajabu ata isizidi million 10 tena hapo high estimate. Lakini uwezi kusikia wizara ya afya inauliza hiyo taasisi itoe justification ya costs za millioni 113 zimekuja vipi.Yupo aliyepeleka mpaka mkewe kulazwa Muhimbili lakini kiko wapi........ndugu wanauziwa maiti za ndugu zao pale yupo kimya kama yupo mmoja nilimsoma humu juzi alijifungua mapacha bahati mbaya mmoja haku-survive bill imekuja anadaiwa mill 100!
Yaani unakuta anayeambiwa hivyo ukikusanya ukoo wake mzima hakuna hata mmoja anayejua million mia ina sifuri ngapi sembuse kuishika ila waanambiwa waitafute,wanasiasa siyo wakuwasikiliza hizo ni actor tu hamna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilizaa matunda mengi sana tuu na hadi leo zinaendelea kuzaa
Mama aliyejifungua watoto NJITI 3 anadaiwa gharama za hospitali Tsh. Milioni 113. Rais tunaomba ahadi ya bima za bure kwa watanzania itekelezwe haraka
SIMULIZI YA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WATATU AKIWA NA UJAUZITO WA MIEZI 6. WATOTO WAWILI WALIFARIKI DUNIA. ANADAIWA TSH MILIONI 113 HOSPITALINI Mama wa watoto Njiti, Emelia Francis amesema haya... Nilipata ujauzito nikaendelea na Kliniki kama kawaida lakini nilivyofika wiki ya 24 (miezi 6)...www.jamiiforums.com
Matunda kama haya si ndiyo?