Rais Mwinyi atembelea kwa kushtukiza hospitali ya Mnazi Mmoja. Atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo

Rais Mwinyi atembelea kwa kushtukiza hospitali ya Mnazi Mmoja. Atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo

Wizara ingekuwa makini hili swala wangelibeba,wakaingia mamlaka za kodi kuangalia uwezekano wa hospital husika kusamehewa kodi ya issue ya huyu mama kisha waambiwe wa-calculate itabaki kiasi gani kisha hiko kiasi hospital iwajibike kumsamehe muhusika kiasi fulani itakayobaki atafute alipe.,isingefika hata mill40. Hii ndiyo maana ya serikali ya wanyonge ila kwa sababu wanakazana kutafuta hela za kutekeleza miradi basi kila mtu afe na mzigo wake.

Nakwambia huu ni ujinga nielewe!
I like people who view things In all direction,
I salute you.
 
Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika.

Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja, Dkt.Ali Salum Ali, amesema watapangiwa kazi nyingine kwa mujibu wa taaluma zao.



Tanzania tunayoitaka, Mungu awalinde viongozi wetu Dkt. Hussein Mwinyi na Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

UPUUZI MTUPU HAMNA LOLOTE NI BANGI TUPU WASHATAWALA SASA HUU NI MWAKA WA 56 HAKUNA LOLOTE LAMAANA
 
UPUUZI MTUPU HAMNA LOLOTE NI BANGI TUPU WASHATAWALA SASA HUU NI MWAKA WA 56 HAKUNA LOLOTE LAMAANA
Hussein Mwinyi ametawala miaka 56????
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom