Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Huyu mama alijifungulia wapi?
Ukipeleka mtoto kusoma international school of tanganyika usitegemee kulipa ada kama Mzumbe secondary
Wizara ingekuwa makini hili swala wangelibeba,wakaingia mamlaka za kodi kuangalia uwezekano wa hospital husika kusamehewa kodi ya issue ya huyu mama kisha waambiwe wa-calculate itabaki kiasi gani kisha hiko kiasi hospital iwajibike kumsamehe muhusika kiasi fulani itakayobaki atafute alipe.,isingefika hata mill40. Hii ndiyo maana ya serikali ya wanyonge ila kwa sababu wanakazana kutafuta hela za kutekeleza miradi basi kila mtu afe na mzigo wake.
Nakwambia huu ni ujinga nielewe!