Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo mtupu unapotosha hapo.Msije mkaanza kumnukuu Lisu
Wakimalizana na sisi wataanza...?
Kuna kiongozi pia alipata kusema mengi na moja wapo katika mengi ni kuwa ukianza kula nyama ya mtu...?
Kwani aliyekuwa Rais ambae ni mtoto wa Karume amejiuzia magorofa mangapi mji mkongwe tumekaa kimya!Kama ni kweli si jambo geni SMZ kunyang'anya nyumba na mashamba. Yameanza na Karume baba mwenyewe.
Ww ulitakiwa uanzishe uzi wa kumsifia kwenye uwekezaji wa ardhi. Siku hizi imekuwa fashion hapa jukwaani, ukianzishwa uzi wa kumsema kiongozi fulani, chawa wa huyo kiongozi ananunua ugomvi kwa kuanzisha uzi wa kumpamba.
Ndio mbinu anazotumiaUongo mtupu unapotosha hapo.
Hiyo inahusu sehemu ya ghorofa za Kilimani ambapo zimechoka sana so wakaazi wanatakiwa wapewe hela waondoke kwa muda ili nyumba zivunjwe zijengwe kubwa na nyingi zaidi, kisasa
Jinsi zilivyo ni hatari, mifumo ya majitaka imeziba, nyumba zimejaa nyufa mpaka chuma za beam zinaonekana. Hii familia inaleta tu siasa, wala hawahitaji nyumba za kiwango hicho jinsi zilivyo.
Ali Karume ana hasira hajapewa cheo awamu hii
Baba yake allikwapua shamba kubwa Dakawa MorogoroTuombe Mungu huyu jamaa asije bara, atauza Kila kitu, na kama akitawala Zanzibar miaka kumi, natarajia kwamba ataondoka kauza Kila kitu isipokuwa oksijeni tu.
Mkuu sahihisha kidogo isomeke ...ndipo anukeWanaccm bwana ,amesubiria waguswe ndipo aropoke
Inaelekea hii familia inapenda kuuza uza na kukodisha kodisha. Hata baba yake si alikodisha mbuga yetu kw waarabu kwa miaka sijui 99 hadi ukiingia unaambia welcome to emiratesRais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji.
Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa, mtoto wa Karume anasema anakodisha kisiwa kwa miaka 35 kwa dola milioni mbili na nusu.
Pale Airport, amefukuza wazawa, wamekosa ajira, ameleta watu wa nje.
Pale mji mkongwe kelele zimezidi.
Sasa kuonyesha ameota mapembe, amejiapiza kuchukua nyumba ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Karume.
Tuombe Mungu huyu jamaa asije bara, atauza Kila kitu, na kama akitawala Zanzibar miaka kumi, natarajia kwamba ataondoka kauza Kila kitu isipokuwa oksijeni tu.
CCM taifa wamkemee, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wamkemeeView attachment 2579693
Huyo chapombe Ali Karumehuwa ni mkorofi sanaUongo mtupu unapotosha hapo.
Hiyo inahusu sehemu ya ghorofa za Kilimani ambapo zimechoka sana so wakaazi wanatakiwa wapewe hela waondoke kwa muda ili nyumba zivunjwe zijengwe kubwa na nyingi zaidi, kisasa
Jinsi zilivyo ni hatari, mifumo ya majitaka imeziba, nyumba zimejaa nyufa mpaka chuma za beam zinaonekana. Hii familia inaleta tu siasa, wala hawahitaji nyumba za kiwango hicho jinsi zilivyo.
Ali Karume ana hasira hajapewa cheo awamu hii
Huyu karume ana nongwa tuu. Baba yake kafanya mengi mabayaYakaKama wanaweza kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi na kufanya mauaji na wasifanywe lolote, watashindwa kuuza hizo ardhi?
Niliwah kubahatika kukutana na jamaa sehemu akawa anasema tatizo kubwa analokutana nalo ni wazanzibar ni wavivu kupindukia. Wanataka maendeleo lakin wamekaa tu. Ukifanya maamuz wanakulaumu.Ukitaka kuwa udhi Wazanzibari anza kuwa lipisha Kodi, umeme, maji na forodha.
Ama kwa airport wanalilia ile enzi ya usultani wa Raza ambapo kazi hupeana bila ujuzi na mizigo toka kwa wajomba Oman inapita bure.
Mwinyi kawashika pabaya watamzulia kila aina ya shutuma.
Duh...!.Tuombe Mungu huyu jamaa asije bara, atauza Kila kitu, na kama akitawala Zanzibar miaka kumi, natarajia kwamba ataondoka kauza Kila kitu isipokuwa oksijeni tu.
CCM taifa wamkemee,
Na huo ndio ukweli mchungu !! Mwinyi yupo vizuri sana hana masikhara yule !!Ukitaka kuwa udhi Wazanzibari anza kuwa lipisha Kodi, umeme, maji na forodha.
Ama kwa airport wanalilia ile enzi ya usultani wa Raza ambapo kazi hupeana bila ujuzi na mizigo toka kwa wajomba Oman inapita bure.
Mwinyi kawashika pabaya watamzulia kila aina ya shutuma.
wapiga dili huenda wameshapata fununu sasa wanaanza kurusha madongo kama haya 😅 Nchi hii ni ngumu sana !!Duh...!.
Kama hii sauti ni ya kweli, Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Basi 2025 huku bara ni usiompenda kaja!.
P
Utafuta umasikini kwa wasiotaka fanya kazi?Zanzibar siku wakipata kiongozi mwenye vision...kufuta umasikini ni miaka mitatu Tu...