Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii.
Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii.
Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya kuongea mbele za umma wa Kitanzania.
Huyu Dr Mdimwa kakosea big time.
Kakanushwa na Rais Mwinyi mwenyewe, CCM yenyewe, na hata wakongwe kama mzee Msekwa.
Mzee Msekwa kaenda mbsli na kusema Katiba haichezewi chezewi vile mtu apendavyo.
Yakhe, Dr Mdimwa NANI ALIKUTUMA?
Au ni kiherehere chako tu!