Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kuna watu wa ovyo wengi kwenye uongozi nchini kwa sasa. Yaani mtu akikupa ulaji unakua chawa na kupoteza akili yako hata kama una elimu kubwa kiasi gani. Yaani unapoteza ule uwezo wakuchambua lipi sawa lipi sio sawa. Kwako unaona njia ile inaleta msosi tumbomi kwako tu ndio sahihi hujali maslahi ya taifa hata tone. Kwa viongozi wa aina hiyo ndio maana mnaona Speaker mwenye Phd ya sheria anakua mstari wa mbele kupitisha bungeni mkataba kama ule ulikua unawapa dubai bandari zetu zote wamiliki kama mali yao. Kigogo mmoja mzalendo aliita kwa usahihi mkataba huo kama haufai hata kulumangia ugali. Mungu ambariki kigogo huyo.View attachment 3025427
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii.
Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii.
Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya kuongea mbele za umma wa Kitanzania.
Huyu Dr Mdimwa kakosea big time.
Kakanushwa na Rais Mwinyi mwenyewe, CCM yenyewe, na hata wakongwe kama mzee Msekwa.
Mzee Msekwa kaenda mbsli na kusema Katiba haichezewi chezewi vile mtu apendavyo.
Yakhe, Dr Mdimwa NANI SLIKUTUMA?
Au ni kiherehere chako tu!
Huyo atakuwa shoga anatafuta bashaView attachment 3025427

Mi ccm Ina akili za, kichawi, huyo hajasema kwa bahati mbaya,ametumwa atikise kiberiti kwanza, sie kwetu tunaita, "shake the tree and see what falls"View attachment 3025427
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii.
Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii.
Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya kuongea mbele za umma wa Kitanzania.
Huyu Dr Mdimwa kakosea big time.
Kakanushwa na Rais Mwinyi mwenyewe, CCM yenyewe, na hata wakongwe kama mzee Msekwa.
Mzee Msekwa kaenda mbsli na kusema Katiba haichezewi chezewi vile mtu apendavyo.
Yakhe, Dr Mdimwa NANI SLIKUTUMA?
Au ni kiherehere chako tu!
Swali ni katumwa na nani?Mi ccm Ina akili za, kichawi, huyo hajasema kwa bahati mbaya,ametumwa atikise kiberiti kwanza, sie kwetu tunaita, "shake the tree and see what falls"
Wanapima, upepo, waone, muitikio wa, mazombi ya zenj,
Labda alitumwa kupima maji ya moto au la kama Ndugai na JiweView attachment 3025427
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii.
Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii.
Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya kuongea mbele za umma wa Kitanzania.
Huyu Dr Mdimwa kakosea big time.
Kakanushwa na Rais Mwinyi mwenyewe, CCM yenyewe, na hata wakongwe kama mzee Msekwa.
Mzee Msekwa kaenda mbsli na kusema Katiba haichezewi chezewi vile mtu apendavyo.
Yakhe, Dr Mdimwa NANI ALIKUTUMA?
Au ni kiherehere chako tu!
Kweli siyo bure, mtu katoka kula tende zake mara anataka Rais wa miaka saba.Labda alitumwa kupima maji ya moto au la kama Ndugai na Jiwe

Nenda YouTube kwenye channel ya Asbert Ngurumo nadhani inaitwa SK media, kaelezea vizuri sana ni nini kiko nyuma ya hili.View attachment 3025427
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii.
Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii.
Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya kuongea mbele za umma wa Kitanzania.
Huyu Dr Mdimwa kakosea big time.
Kakanushwa na Rais Mwinyi mwenyewe, CCM yenyewe, na hata wakongwe kama mzee Msekwa.
Mzee Msekwa kaenda mbsli na kusema Katiba haichezewi chezewi vile mtu apendavyo.
Yakhe, Dr Mdimwa NANI ALIKUTUMA?
Au ni kiherehere chako tu!
Umemsikiliza Ansbert Ngurumo YouTube? Kumbe Mwinyi ana hali mbaya sana kisiasa huko Zanzibar!Kweli siyo bure, mtu katoka kula tende zake mara anataka Rais wa miaka saba.
Anajamba na kuhara kisiasa.
Ameiaibisha CCM.
View attachment 3025427
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii.
Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii.
Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya kuongea mbele za umma wa Kitanzania.
Huyu Dr Mdimwa kakosea big time.
Kakanushwa na Rais Mwinyi mwenyewe, CCM yenyewe, na hata wakongwe kama mzee Msekwa.
Mzee Msekwa kaenda mbsli na kusema Katiba haichezewi chezewi vile mtu apendavyo.
Yakhe, Dr Mdimwa NANI ALIKUTUMA?
Au ni kiherehere chako tu!
Kuna watu wanawashwa washwa kutaka kubaka demokrasia...kuna mwingine ni Naibu Katibu Mwenezi wa Ccm amesema Tume Huru ya Uchaguzi itaanza kazi baada ya 2025.
..Makamishna walioteuliwa ktk Tume ya zamani hawatabadilishwa pamoja na kwamba sheria ya kuanzisha Tume Huru imeshapitishwa.
..pia Uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu utasimamiwa na Tamisemi, kwa maana Ofisi ya Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Ccm.
..sasa unajiuliza kulikuwa na ulazima gani kusumbua wananchi kutoa maoni kuhusu Tume Huru ya uchaguzi?
..Je, waliotoa maoni lengo lao lilikuwa Tume Huru iwe hivi ilivyopitishwa na ianze kazi baada ya uchaguzi wa 2025?
Kuna watu wanawashwa washwa kutaka kubaka demokrasia.
True, wanajidai wanampenda kumbe wanatayarisha matumbo yao kuendelea kula!Ni njaa zake tu, unajua watu huwa wanataka mtu fulani aendelee kwa sababu anapokuja mpya wanakuwa hawana uhakika kama watasalia kwenye hizo nafasi.
So it is more about them and their greedy stomachs.
Huyu nadhani ni dokta wa vichaaKweli siyo bure, mtu katoka kula tende zake mara anataka Rais wa miaka saba.
Anajamba na kuhara kisiasa.
Ameiaibisha CCM.
Astaghifilullah!Anataka kupewa sunna?Huyo atakuwa shoga anatafuta basha
Huyo Dr Mdimwa ni tumbo street, hana umahiri wowote kisiasa.Ni njaa zake tu, unajua watu huwa wanataka mtu fulani aendelee kwa sababu anapokuja mpya wanakuwa hawana uhakika kama watasalia kwenye hizo nafasi.
So it is more about them and their greedy stomachs.
NADHANI HII SIYO HUZUNI TU BALI NI MSIBAView attachment 3025427