Rais Mwinyi kuongezewa muda: Dr Mdimwa nani alikutuma? Au ni kiherehere chako tu!

Mimi nimesikitishwa tu kuona anaitwa Dokta!! Sijui ni dokta wa nini huyu masikini!! Maana anaonekana kichwani hamna kitu.
 
Eti bae anaitwa Dr. !!! Mbona tittle ya elimu yake haiendani uwezo wake wa kuelewa na kuchanganua mambo. The way anavyoongea ni kama mtu mwenye elimu ya hapa na pale (i.e darasa la Saba B aliyechangamuka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…