Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kama inasheria zake mbona mama aliingilia za tanzania ngorongoro si mzanzibari yule tuanze hapo 2025Zanzibar ina sheria zake, usiingilie !! wamasai wazifuate ama warudi kuchunga mifugo bara.
Bara ni kwajili ya sheria za muungano tu, Zanzibar kuna sheria za Zanzibar na vijisheria vya upande wapili wa muungano.
Sio sawa na hawabebi hizo kwa ajili ya kuchunga ngombe na wapo nchi nzima wakiishi kwa utaratibu huo. Acha uzwazwa, nasi tutawakataza hao Wapemba kuongea wakiwa wamerendemka. Hapo issue ni ubaguzi wa kidini na kitanganyika. Masai na fimbo na rungu au Sime ni toka enzi na enzi.Wamasai wanatembea na vifimbo zao kwa sababu ya kuchunga ngombe zao. Jee zanzibar huwa wanachunga ngombe? Acheni hoja za kitoto. Mambo yanabadilika.
"IYAMBULISHO" ndio nini? Mnawachukia wamasai kwa kuwa wanawapiga pipe watalii wa kizungu na mademu zenu maana nyie mmezoea kupigwa pipe kama yule Askari wenu. Hamna lolote, mnajifanya kuchukia wamasai huku mnafurahia kufirwa. Mapuuzi kabisa nyie.Nenda ukoo MBONA nyinyi mliwahamisha Wamasai Toka maeneo Yao ya ASILI hamkuita ubagizi watanganyika mmmechanganyikiwa chukibza wazi Kwa wazanzibar lakini bure tuu sisi tiutalinda IYAMBULISHO wetu DAIMA
Zanzibar ni nchi inasheria zake na taratibu zao wenyewe ..Ukimsikiliza ni chuki tu za kibaguzi. Eti kama wanataka kufanya biashara wafungue maduka na wasibebe sime wala marungu. Hiv nchi hii wamasai wamewakosea nini. Maana porin kwao wamefukuzwa na huku mjin wanakojitafuta hawatakiwi. Mnataka wafanye nini waende wapi.
-Security wise! the mostlyKama ni tamaduni ya wazanzibar ni si ya waomani sawa!!! Wabebe jambia!
Masai ni lala popote, ndiyo maana ana shuka mwilini wakati wote, hizo silaha ni humsaidia kujilinda na maadui kwakuwa yeye hulala popote pale, vilevile hizo silaha humsaidia kuwinda na kupata chakula chake wakati wowote na mahali popote ndiyo maana silaha hizo humpa uwezo wa kupambana na wanyama wakali na akawashindaIfahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao, na hivyo kujaribu kwa aina yoyote kuondoa kimoja wapo katika hivyo vinavyokuwa ndani ya mwili wa Masai ni kutangaza kuwafukuza Wamasi Zanzibar, Hili ni tangazo la kijinga limekurupukwa na mamlaka za Zanzibar!
Na sasa wanapita sana back doorSTOP THE GENOCIDE
Wazanzibari wanaweza kuacha kula rojo?
Wanaweza kuacha supu la pweza?
Sasa waarabu na waoman wapi na wapi?😂 Ukishakuwa mtumwa tu akili yako inakuwa kama imevurugwaUnataka Wazanzibar nao waanze kutembea wamebeba Majambia kama wa Oman wa kipindi kile?
Nchi kuwa na haki ya kufanya jambo fulani, siyo certificate ya kuwa na haki ya kufanya jambo lolote hata kama linaumiza baadhi ya raia. Hivi nyie CCM masalia akili zenu mnaziweka wapi?Hata Kanuni ya adhabu(Penal Code) ya Tanzania bara(acha zanzibar), nadhani ni sura ya kumi na sita (Cap 16.R.E. 2019) pia hairuhusu.
Na zanzibar kama nchi wana haki ya kuwa na utaratibu wao. La msingi tu, wakae nao wawaelimishe. Wasiweke matumizi makubwa ya nguvu
Aliyewaamisha ni Mzanzibari mwenzenu.Nenda ukoo MBONA nyinyi mliwahamisha Wamasai Toka maeneo Yao ya ASILI hamkuita ubagizi watanganyika mmmechanganyikiwa chukibza wazi Kwa wazanzibar lakini bure tuu sisi tiutalinda IYAMBULISHO wetu DAIMA
Ubaguzi wa kidini tena? Mbona Akina John wapo wengi? Acha ujuha mwehu wewe.Sio sawa na hawabebi hizo kwa ajili ya kuchunga ngombe na wapo nchi nzima wakiishi kwa utaratibu huo. Acha uzwazwa, nasi tutawakataza hao Wapemba kuongea wakiwa wamerendemka. Hapo issue ni ubaguzi wa kidini na kitanganyika. Masai na fimbo na rungu au Sime ni toka enzi na enzi.
Hayo majamaa ni mabaguzi sana. Kuna sense moja la kipemba lilikuja kuishi huku Rungwe likiwa limeajiriwa kwenye shamba moja la Parachichi kama farm manager. Jamaa alupanga nyumba karibu na kwangu, kwa kuwa sisi ni wakristo likawa halitusalimii sio sisi wakubwa tu hata watoto wakimuamkia haitikii. Akawa anachukia majirani wote. Siku 1 akagombana na mama mmoja jirani eti amechuma mboga kwenye eneo la nyumba aliyopanga wakati mwenye nyumba alipokuwepo walipanda mboga na huyo mama. Siku nyingine akamtishia kuua mtoto wa huyo mama kosa jamaa alikuta passion zilizopandwa na mwenye nyumba zimechumwa na watoto bila kujua ni watoto wapi wamechuma.
Simu hiyo tukamfuata na kumwambia aondoke la sivyo sisi ndio tutamuua yeye apeleke upuuzi wake pale na kizimkazi huko. Atutolee gubu lake. Majamaa mapuuzi na mabaguzi sana na yana IQ sawa na nguruwe. Mapumbavu kabisa.
Mbona enzi za Magu waliondolewa kwa nguvu Ngoro ngoro. Nyinyi hasa mwehuAliyewaamisha ni Mzanzibari mwenzenu.
Kwakifupi Hii jamii ya kimasai ipo ktk hatari ya kupotezwa.
Wazanzibari wanapambana sana na hii jamii ya kimasai.
Tanganyika km inawazalendo kweli kuna kitu lazima kifanyike ili kuiokoa hii jamii ya kimasai.
Wakienda Ulaya wanaenda na virungu? Wakienda afisini kwa walioajiriwa wanaenda na virungu? Kirungu na kisu ndio umasai? Mwisho mtasema wazanzibar wawatengee ardhi ili wamasai wakanye maana asili yao ni kunya kwenye maporiSio sawa na hawabebi hizo kwa ajili ya kuchunga ngombe na wapo nchi nzima wakiishi kwa utaratibu huo. Acha uzwazwa, nasi tutawakataza hao Wapemba kuongea wakiwa wamerendemka. Hapo issue ni ubaguzi wa kidini na kitanganyika. Masai na fimbo na rungu au Sime ni toka enzi na enzi.
Hayo majamaa ni mabaguzi sana. Kuna sense moja la kipemba lilikuja kuishi huku Rungwe likiwa limeajiriwa kwenye shamba moja la Parachichi kama farm manager. Jamaa alupanga nyumba karibu na kwangu, kwa kuwa sisi ni wakristo likawa halitusalimii sio sisi wakubwa tu hata watoto wakimuamkia haitikii. Akawa anachukia majirani wote. Siku 1 akagombana na mama mmoja jirani eti amechuma mboga kwenye eneo la nyumba aliyopanga wakati mwenye nyumba alipokuwepo walipanda mboga na huyo mama. Siku nyingine akamtishia kuua mtoto wa huyo mama kosa jamaa alikuta passion zilizopandwa na mwenye nyumba zimechumwa na watoto bila kujua ni watoto wapi wamechuma.
Simu hiyo tukamfuata na kumwambia aondoke la sivyo sisi ndio tutamuua yeye apeleke upuuzi wake pale na kizimkazi huko. Atutolee gubu lake. Majamaa mapuuzi na mabaguzi sana na yana IQ sawa na nguruwe. Mapumbavu kabisa.
Nipe kumbukumbu ya Magufuli kufanya hiyvoMbona enzi za Magu waliondolewa kwa nguvu Ngoro ngoro. Nyinyi hasa mwehu
Wamefata wazungu Zanzibar baada ya mama kuuza loliondo,rungu na sime ni sehemu ya vaziMbona ukeketaji watu wameelimishwa, wakaacha,na ilikuwa utamaduni wa baadhi ya jamii.
Sasa kwa dunia ya artificial intelligence, hayo mafimbo na marungu, na mavisu yana faida gani? Ni sawa na kukomalia kulala porini Ngorongoro, bila nyumba eti utamaduni
Hizo fimbo ni za kuchungia ngombe, wana ngombe huko zanzibar hao wamasai? Kuna simba zanzibar kwamba watakutana naye wapambane naye kwa kutumia hizo silaha?
Utamaduni wa konyo
Silaha aina yoyote ni hatari.Wakiruhusiwa wamasai Watembee na silaha,na wengine pia watachukulia ni fursa kutembea na silaha.Hao wapemba,pia ni utamaduni wao wa kutembea na bakora na kisu kiunoni,lakini waliacha mda mrefu sana,baada ya kuja Tanzania bara.Nakumbuka vizuri walikuwako wapemba wakitembea na bakora na visu kwenye ala,kiunoni.Lakini walipokuja Tanzania bara,na kuona huku,hasa mikoa ya Pwani,hawatumii hizo silaha kutembea nazo,waliacha mara moja,bila kupewa amri na mtu.Na nafikiri ila sina uhakika,ipo sheria ya kukataza kutembea na silaha bila kibali.Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazokataza kupigana hadharani au kificho.
Lakini naomba nitofautiane na hatua iliyochukuliwa na serikali ya Zanzibar, Amri kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime/visu vyao, Ni Kauli Haramu na ya kibaguzi inayohatarisha muungano wa Tangabyika na Zanzibar.
Ifahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao, na hivyo kujaribu kwa aina yoyote kuondoa kimoja wapo katika hivyo vinavyokuwa ndani ya mwili wa Masai ni kutangaza kuwafukuza Wamasi Zanzibar, Hili ni tangazo la kijinga limekurupukwa na mamlaka za Zanzibar!
Kwamiaka yote tangu kabla ya uhuru hadi leo, Jamii za Wamasai wapo Zanzibar na utamaduni wao wa visu/Sime na Fimbo, hakujawahi kuwa hatari kwa raia yoyote, Kwanini iwe leo baada ya Masai kujihami waliposhambuliwa na mgambo wa mji? Serikali ya Rais @dr.hmwinyi itafute jawabu la kumaliza mzozo huu sio kufunika kwakuwafukuza Wamasai, Tatizo liko kwa mamlaka za jiji, Tatizo liko kwa Wakuu wa Mikoa, na mamlaka zingine za jiji.
Unawazuia Wamasai wasibebe fimbo unataka Wabebe Vikapu vya Nazi na vigemeo vya Litembo? Unataka wabebe Usinga? Unataka wabebe karafuu? Noooo nooo tukatae unyanyasaji huu kwa jamii ya kimasai! Ukamilifu wa Masai ni fimbo na sime. Sasa unaka awe na shuka tu kama dera?
Kesho yataibuka Bara Wapemba watashambuliwa, Je serikali iweke amri wapemba wasizaliane kwa Wingi Bara ambao ni sehemu ya utamaduni wao? Nooo Nooo! Tukatae ubaguzi huu.
Mh Rais @dr.hmwinyi ili kunusuri maafa zaidi na kuoondoa hii taswira mbaya ya ubaguzi iliyotengenezwa na mamlaka za mji hapo Unguja, Ninakuomba na kukusihi Mh Rais, tengua hii kauli ya kibaguzi, Haifai kutolewa na kiongozi wa serikali katika ulimwengu wa leo! Madhara yake ni makubwa zaidi mbeleni.
Serikali ijifunze kutatua migogo kwa hekima na busara, Majibu ya hasira ya kiserikali yanaweza kuleta maafa zaidi kuliko kutatua, Nimeisikiliza kauli ikitolewa na yule kiongozi wa mjinibZanzibar (Unguja) ni wazi alitawaliwa na ghadhabu zaidi kuliko hekima ya kiuongozi, Amewahukumu Wamasai bila kujaribu kujua undani na kutafuta jawabu, Badala yake ametafuta jibu ambalo ni la hovyo zaidi!,
Nimesikitika sana kwa kauli hii ya serikali ya Zanzibar katika zama hizi za utandawazi na utandaridhi! Utengamano wa taifa letu ni muhimu kuliko hizi chuki zinazokolezwa na namlaka za nchi!
Na Yericko Nyerere
View attachment 2890368
Mkuu hayo yote yalitiririka. Basi tu.Na sasa wanapita sana back door
Duh, hivi unajua wamekuwa wakibeba hizo silaha kwa mda gani?Wakiruhusiwa wamasai Watembee na silaha,na wengine pia watachukulia ni fursa kutembea na silaha.