Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

Acheni ujinga, kujizonga mashuka na kutembea na marungu ndio utamaduni? Wamasai warudu porini wakaendeleze utamaduni wao wa kishenzi huo.
Huna akili, Yani we kwa upeo wako kila mtu unataka awe kama wewe? Wewe mwenyewe wazungu wanakuona nyani ambae hujastaarabika unaongozwa na wajinga. Wewe mashuka yao yanakuwa shida nini? Unajua maana ya identity? Waarabu wanavaa kanzu we kwako unaona ustaarabu, Wamasai wakivaa yakwao unaona hawajastaarabika, akili za watumwa hizi.
 
Acheni kuwadanganya hao wamasai, makabila yote yanamila zao, lakini mila za kijinga kama hizi za kimasai hazipaswi kuendelezwa hongera sana Wazanzibari, endeleeni kuwastaarabisha hao watanganyika wasiojielewa na mamila yao yaporini hayo.
 
Za kijinga kwako. Miaka yote mbona wanaishi vizuri na watu? Hamtaweza na haitotokea waswahili waondoe mila ya mmasai. Sio kila mtu anapenda maisha ya waswahili na Uswahili sio kipimo cha ustaarabu, wewe ndio usiejielewa. Wapo Wamasai kibao wanakuzidi elimu na pesa na wanavaa rubega zao kama kawaida. Mkataba kwao mtumwa. Kila mtu awe proud na asili yake. Kama we mmakonde shauri lako, maana makabila mengine mila zao mpaka aibu hawataki kuyatamka.
 
Ukipigwa stop usiende huko kwenye ulimwengu wa mashoga uoni huo ni upendo wa Mungu ulio mkuu?
 
Kwani wazanzibar ni waoman?? Wale ni wanyamwez..mwarabu alitia mimba tu kule wakatokea hao halfcasts, lkn wale ni watanganyika waliyoingia pale na mwingereza na mwarabu waliwakuta pale
Sasa huko walipozaliwa si walizikuta tamaduni, ndiyo hizo walizozirithi, maana za kule walipotoka hawazijui na zaidi hawajui walitokea wapi. Maana watumwa wengi walisemwa kuwa walitoka Tabora au Iringa, lakini ukweli hawakutokea huko, Tabora Iringa ni sehemu tu misafara ilianzia, sababu wale Watemi ma Machifu wa Pale walikua wakivamia himaya nyingine na kukamata mateka, hao Mateka ndiyo waliuzwa kwa waarabu
 
Serikali ya mapinduzi inapotoshwa kwa hili la wamasai. Kuna chuki kubwa za kidini dhidi ya jamii Za watanganyika
Ila kwa ajili ya siasa watakanusha , wafute tangazo lao kimyakimya dhidi ya wamasai.
hahahah wafute kimya kimya kama vile walivyofuta JKT kwa mujibu wa sheria
 
Back
Top Bottom