Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

Ukimsikiliza ni chuki tu za kibaguzi. Eti kama wanataka kufanya biashara wafungue maduka na wasibebe sime wala marungu. Hiv nchi hii wamasai wamewakosea nini. Maana porin kwao wamefukuzwa na huku mjin wanakojitafuta hawatakiwi. Mnataka wafanye nini waende wapi.
Mbona walianza miaka mingi kuja huku Zanzibar kabla hata utalii haujawa na nguvu huko bara
 
Kuna mambo lazima yatabaki kama historia tu na kumbukumbu hayawezi kuendelea kwa muda mrefu. Ni suala la mfumo.

Kwani Suala la Tohara kimila kwa wamasai limeishia wapi? Walikuwa wakishakatwa wanatembea kwa makundi na fimbo na huruhusiwi kuwatazama usoni, ukiwatazama unachapwa. Umeshasikia hii tamaduni ikiwa maarufu tena kwenye miji mikubwa? Inajifia.

Kama wanajichanganya na dunia hii inayokwenda kwa kasi watu wanahamia kwenye AI, ni suala la muda tu wataadupt na kuna mambo yatabaki historia kuwa ilikuwa hivi. Kama huko USA tu red indian walivyobaki historia, walikuwa wanatembea na mishale.

Njia sahihi ni kuishi katika maeneo ambayo yanaruhusu mfumo wa tamaduni zao kama nje ya miji mikubwa, vijijini na maporini.
Suala la tohara halijabadilika. Tatizo hampo exposed. Unadhani ukiwa Dar umemaliza dunia, shida sana.
 
Serikali ya mapinduzi inapotoshwa kwa hili la wamasai. Kuna chuki kubwa za kidini dhidi ya jamii Za watanganyika
Ila kwa ajili ya siasa watakanusha , wafute tangazo lao kimyakimya dhidi ya wamasai.
Mwl. Nyerere alisema ukiisha Anza kula nyama za watu hautaacha. Hawa Waislam wa Zanzibar hizo chuki zao zenye chimbuko kwenye Quran mjue hazitaishia kwa wamasai tu, bali wataziendeleza hata kwa watanganyika wengine ambao hawafuati itikadi zao za kijahidina
 
Hoja ya utamaduni ilikuwa kubeba hizo zana sio kama urembo bali ni kuzitumia kwenye changamoto.

Wamasai nao kwa siku hizi wamekuwa wakorofi sana kisa wanajivunia hizo silaha.

Mbona wale walioelimika hatuwaoni kubeba hizo mambo. Kuna mtu chuoni amesoma na mmsai anaebeba hizo takataka.?
 
Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazokataza kupigana hadharani au kificho.

Lakini naomba nitofautiane na hatua iliyochukuliwa na serikali ya Zanzibar, Amri kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime/visu vyao, Ni Kauli Haramu na ya kibaguzi inayohatarisha muungano wa Tangabyika na Zanzibar.

Ifahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao, na hivyo kujaribu kwa aina yoyote kuondoa kimoja wapo katika hivyo vinavyokuwa ndani ya mwili wa Masai ni kutangaza kuwafukuza Wamasi Zanzibar, Hili ni tangazo la kijinga limekurupukwa na mamlaka za Zanzibar!

Kwamiaka yote tangu kabla ya uhuru hadi leo, Jamii za Wamasai wapo Zanzibar na utamaduni wao wa visu/Sime na Fimbo, hakujawahi kuwa hatari kwa raia yoyote, Kwanini iwe leo baada ya Masai kujihami waliposhambuliwa na mgambo wa mji? Serikali ya Rais @dr.hmwinyi itafute jawabu la kumaliza mzozo huu sio kufunika kwakuwafukuza Wamasai, Tatizo liko kwa mamlaka za jiji, Tatizo liko kwa Wakuu wa Mikoa, na mamlaka zingine za jiji.

Unawazuia Wamasai wasibebe fimbo unataka Wabebe Vikapu vya Nazi na vigemeo vya Litembo? Unataka wabebe Usinga? Unataka wabebe karafuu? Noooo nooo tukatae unyanyasaji huu kwa jamii ya kimasai! Ukamilifu wa Masai ni fimbo na sime. Sasa unaka awe na shuka tu kama dera?

Kesho yataibuka Bara Wapemba watashambuliwa, Je serikali iweke amri wapemba wasizaliane kwa Wingi Bara ambao ni sehemu ya utamaduni wao? Nooo Nooo! Tukatae ubaguzi huu.

Mh Rais @dr.hmwinyi ili kunusuri maafa zaidi na kuoondoa hii taswira mbaya ya ubaguzi iliyotengenezwa na mamlaka za mji hapo Unguja, Ninakuomba na kukusihi Mh Rais, tengua hii kauli ya kibaguzi, Haifai kutolewa na kiongozi wa serikali katika ulimwengu wa leo! Madhara yake ni makubwa zaidi mbeleni.

Serikali ijifunze kutatua migogo kwa hekima na busara, Majibu ya hasira ya kiserikali yanaweza kuleta maafa zaidi kuliko kutatua, Nimeisikiliza kauli ikitolewa na yule kiongozi wa mjinibZanzibar (Unguja) ni wazi alitawaliwa na ghadhabu zaidi kuliko hekima ya kiuongozi, Amewahukumu Wamasai bila kujaribu kujua undani na kutafuta jawabu, Badala yake ametafuta jibu ambalo ni la hovyo zaidi!,

Nimesikitika sana kwa kauli hii ya serikali ya Zanzibar katika zama hizi za utandawazi na utandaridhi! Utengamano wa taifa letu ni muhimu kuliko hizi chuki zinazokolezwa na namlaka za nchi!

Na Yericko Nyerere
View attachment 2890368
Yeriko!
Kwani wamesai si wamehamishiwa.makao mapya Handeni na Serikali!
Na Hawa si wapelekwe huko.

Isitoshe swala Zanziba linawasha nini si wana Serikali yao Muungano ni ujanja ujanja tuu!!
 
Badala wahangaike na umaskini wa pesa na akili ulio wajaa wazenji wao wanahangaika na fimbo za wamasai, siku nyingine wakitaka kuwashika wamasai wapeleke watu wenye afya sio wale wagawa kisamvu mpira
 
Zanzibar ina sheria zake, usiingilie !! wamasai wazifuate ama warudi kuchunga mifugo bara.

Bara ni kwajili ya sheria za muungano tu, Zanzibar kuna sheria za Zanzibar na vijisheria vya upande wapili wa muungano.
Sheria gani hiyo inayozuia Wamasai kubeba marungu yao.... Mbona Wazungu wanavaa bikini beach hawasumbuliwi au sheria za Zanzibar zinaruhusu!?
 
Hata Kanuni ya adhabu(Penal Code) ya Tanzania bara(acha zanzibar), nadhani ni sura ya kumi na sita (Cap 16.R.E. 2019) pia hairuhusu.
Sheria ukiitafsiri kirahisi unaweza kupata matatizo. Ikiwa kifungu hicho kinatamka hivyo, wauza machungwa, madafu na miwa hawatakiwi kuwa na 'silaha'
Na zanzibar kama nchi wana haki ya kuwa na utaratibu wao. La msingi tu, wakae nao wawaelimishe. Wasiweke matumizi makubwa ya nguvu
Haki ya Tanganyika ipo wapi? Kuna haki za Tanzania ambazo Wazanzibar wanazo!
 
Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazokataza kupigana hadharani au kificho.

Lakini naomba nitofautiane na hatua iliyochukuliwa na serikali ya Zanzibar, Amri kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime/visu vyao, Ni Kauli Haramu na ya kibaguzi inayohatarisha muungano wa Tangabyika na Zanzibar.

Ifahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao, na hivyo kujaribu kwa aina yoyote kuondoa kimoja wapo katika hivyo vinavyokuwa ndani ya mwili wa Masai ni kutangaza kuwafukuza Wamasi Zanzibar, Hili ni tangazo la kijinga limekurupukwa na mamlaka za Zanzibar!

Kwamiaka yote tangu kabla ya uhuru hadi leo, Jamii za Wamasai wapo Zanzibar na utamaduni wao wa visu/Sime na Fimbo, hakujawahi kuwa hatari kwa raia yoyote, Kwanini iwe leo baada ya Masai kujihami waliposhambuliwa na mgambo wa mji? Serikali ya Rais @dr.hmwinyi itafute jawabu la kumaliza mzozo huu sio kufunika kwakuwafukuza Wamasai, Tatizo liko kwa mamlaka za jiji, Tatizo liko kwa Wakuu wa Mikoa, na mamlaka zingine za jiji.

Unawazuia Wamasai wasibebe fimbo unataka Wabebe Vikapu vya Nazi na vigemeo vya Litembo? Unataka wabebe Usinga? Unataka wabebe karafuu? Noooo nooo tukatae unyanyasaji huu kwa jamii ya kimasai! Ukamilifu wa Masai ni fimbo na sime. Sasa unaka awe na shuka tu kama dera?

Kesho yataibuka Bara Wapemba watashambuliwa, Je serikali iweke amri wapemba wasizaliane kwa Wingi Bara ambao ni sehemu ya utamaduni wao? Nooo Nooo! Tukatae ubaguzi huu.

Mh Rais @dr.hmwinyi ili kunusuri maafa zaidi na kuoondoa hii taswira mbaya ya ubaguzi iliyotengenezwa na mamlaka za mji hapo Unguja, Ninakuomba na kukusihi Mh Rais, tengua hii kauli ya kibaguzi, Haifai kutolewa na kiongozi wa serikali katika ulimwengu wa leo! Madhara yake ni makubwa zaidi mbeleni.

Serikali ijifunze kutatua migogo kwa hekima na busara, Majibu ya hasira ya kiserikali yanaweza kuleta maafa zaidi kuliko kutatua, Nimeisikiliza kauli ikitolewa na yule kiongozi wa mjinibZanzibar (Unguja) ni wazi alitawaliwa na ghadhabu zaidi kuliko hekima ya kiuongozi, Amewahukumu Wamasai bila kujaribu kujua undani na kutafuta jawabu, Badala yake ametafuta jibu ambalo ni la hovyo zaidi!,

Nimesikitika sana kwa kauli hii ya serikali ya Zanzibar katika zama hizi za utandawazi na utandaridhi! Utengamano wa taifa letu ni muhimu kuliko hizi chuki zinazokolezwa na namlaka za nchi!

Na Yericko Nyerere
View attachment 2890368
🤝🙏🆒
 
Mbona ukeketaji watu wameelimishwa, wakaacha,na ilikuwa utamaduni wa baadhi ya jamii.

Sasa kwa dunia ya artificial intelligence, hayo mafimbo na marungu, na mavisu yana faida gani? Ni sawa na kukomalia kulala porini Ngorongoro, bila nyumba eti utamaduni

Hizo fimbo ni za kuchungia ngombe, wana ngombe huko zanzibar hao wamasai? Kuna simba zanzibar kwamba watakutana naye wapambane naye kwa kutumia hizo silaha?

Utamaduni wa konyo
📝 Mwacha asili ni mtumwa! Si ajabu masalia ya utumwa kuona mtu huru kuwa ni hatari!
 
Yaan we jombaa ni kiaz hebu nenda China vijijin huko au hata Japan au hata sehem za Scotland au hata uarabuni hasa jamii za mabedui. Au Namibia. Sio kila mtu anataka kuvaa hayo masuti ni ishu kwake au nyumba za block. Kuna watu kuishi kienyeji ndio furaha yake. Ndio jamii za asili wameamua wao kwanini wewe uwapangie furaha yao hapa dunian. Na ninan kakuambia kuvaa kizungu ndio umeendelea.
💬 Mtu huru Kubishana na mtumwa, anayetukuza utumwa ni kazi kweli kweli! Utekesha! 🎤🔊🔭
 
Wamasai wapo ZNZ kwa miongo kadhaa sasa, kwanini hiyo chuki ianze leo? Acheni kujizima data. Hivi ni mara ngapi nchi hii Wakulima wamekuwa wakishambuliwa na hata kuuawa na jamii ya wafugaji hususani Wamasai? Ni kipi kinawawezesha Wamasai kufanya mashambulizi yao kirahisi hivyo kama sio hiyo the so-called utamaduni wv kutembea na silaha? Acheni ku-justify ujinga kwa kigezo eti cha utamaduni kwa sababu hata huo utamaduni lazima uendane na mazingira. Kwenye yale mazingira yao ya asili ni sawa tu hata kutembea na bunduki kwa sababu you never know ni wakati gani wanyama wakali watatokea mbele yao, sasa Zanzibar unatembea na silaha kwa sababu zipi? Halafu kwanini mnaona ni Wamasai ni exceptional community ambapo sheria zingine ziwaguse wengine tu lakini sio Wamasai? Hii nchi kila kabila lina maeneo yake ya asili, na baadhi yao wamekuwa wakihamishwa vile vile lakini hatujawahi kusikia haya madai ya "mnatuhamisha maeneo yetu ya asili". Wamasai ni jamii ya kwanza kuhamishwa kwenye maeneo tengefu au kwenye hifadhi za taifa?
Mkuu kwanza, toa tafsiri halisi ya silaha? Usisahau hata tunguli ni silaha, inslinda na vile vile inaua!
 
We mwenyewe ndio unajenga hoja ktk msingi wa ubaguzi. Zanzibar nayo ina utamaduni wake, ukifika Roma fanya km waRoma, wakiinama nawe inama. Pili we huwajui vizuri wamasai, hizo sime na fimbo za nini huko mjini Zanzibar? Sime na fimbo zina mantiki kule porini, eti wametumia kujihami. Ni kwamba hizo ndiyo silaha wanazotegemea ukitofautiana nao. Wapigwe marufuku vinginevyo warudi kule porini kwao.
Mkuu utumwa ni mzigo, umekulemea! Vipi wewe, bunduki watu wanatembea nazo hadharani halafu rungu ya masai na sime iwe nongwa! Kama vipi wazisajili! Ujue hata tester ya fundi umeme ni silaha mbaya!
 
"IYAMBULISHO" ndio nini? Mnawachukia wamasai kwa kuwa wanawapiga pipe watalii wa kizungu na mademu zenu maana nyie mmezoea kupigwa pipe kama yule Askari wenu. Hamna lolote, mnajifanya kuchukia wamasai huku mnafurahia kufirwa. Mapuuzi kabisa nyie.
🙄🙄🙄💭
 
Naunga mkono hoja!
Huku bara Wamasai wanatembea na silaha zao za jadi hatujawahi kusikia wakidhuru watu!
 
Ifahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao,
Serikali iwapige marufuku Wamasai wasiingie mijini hadi watakapo staaribika, wache kujizonga zonga mashuka wavae nguo za heshima, waache kutembea na mapanga na magongo utadhani wanawinda simba, na wawe wanaoga kutwa mara mbili wamasai ukipishana nao watoa harufu ni wachafu sana. Serikali inawadekeza sana hawa Wamasai. Kama serikali ilivyokaza mila za ukeketaji na hizi mila za kijinga za kimasai hazipaswi kuendelezwa katika dunia ya leo iliostaarabika.
 
Suala la tohara halijabadilika. Tatizo hampo exposed. Unadhani ukiwa Dar umemaliza dunia, shida sana.
Umesoma ukaelewa? Aliyekuambia kwa sasa nipo dar ni nani?

Suala la tohara kwa utaratibu tunaoufahamu lipo porini huko, mijini wakishatahiriwa ule utaratibu wa kutembea na mafimbo huku wakichapa watu wanaowatazama haupo. Wanatahiriwa wanatulia na machaki chaki yao usoni na ikitokea wakatembea basi si kwa hali hatarishi kama ilivyokuwa huko nyuma.
 
Serikali iwapige marufuku Wamasai wasiingie mijini hadi watakapo staaribika, wache kujizonga zonga mashuka wavae nguo za heshima, waache kutembea na mapanga na magongo utadhani wanawinda simba, na wawe wanaoga kutwa mara mbili wamasai ukipishana nao watoa harufu ni wachafu sana. Serikali inawadekeza sana hawa Wamasai. Kama serikali ilivyokaza mila za ukeketaji na hizi mila za kijinga za kimasai hazipaswi kuendelezwa katika dunia ya leo iliostaarabika.
Ustaarabu kwa akili zako fupi ndio kuacha utamaduni wao? Kuacha identity yao? Yani kuna majitu majinga sana Tanzania. Na wazungu wakusemeje wewe kuhusu ustaarabu? Kuna Wamasai wanavaa rubega na wanapaka perfume za gharama, wanaendesha magari ya maana na wana pesa , tembea uone , nenda ata Arusha au mererani mjinga wewe. Au hukuona yule wanamwita bilionea Laiza alikuwa anavaaje?
 
Acheni ujinga, kujizonga mashuka na kutembea na marungu ndio utamaduni? Wamasai warudu porini wakaendeleze utamaduni wao wa kishenzi huo.
 
Back
Top Bottom