Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

Mimi sio muumini wa serikali za wezi wa kura na wamwaga damu. Lakini huyo Mwinyi ajitahidi sana kuachana na huyu katili maana atashindwa kufanya kazi yake, bali ataaishia kuagizwa kufanya mambo ya kukomoa watu.
 
Inawezekana sana

Kamati kuu ikimvua uanachama wa CCM automatically anapoteza u Rais wake
Iliwahi kutokea enzi zile za Mwalimu. Unamkumbuka Aboud Jumbe?

Sijui kama inawezekana zama hizi..
 
A congregation of sadist, kodi gani imeongezeka? Mbona kodi zimepungua? Au akili ya sisi wafanya biashara? Maamumzi ya sisi wafanyabiashara hata tukisamehewa kodi tunaona tumeonewa.

Tutafika tuu.

How do yuo do business but you don't want to pay tax?
 
Ana PhD kaifanyia Uturuki

Unaweza ku google CV yake kujiridhisha kama utapenda

Nimeandika hivi kusudi kwa kuwa wengi wenu mnadhani anaitwa Dr kwa sababu Shahada yake ya kwanza ya Udaktari
Shukran Maalim
 
Mkuu Kiswahili kingeeleweka zaidi kwa sie tunaosumbuliwa na lugha ya malkia. Kwani ulitaka kusemaje?
Samahani mkuu
 


Msifikiri kuna kitu kitakuwa, sahauni, DAMU ZA WATU ZINAWATAFUNA, HAKUNA MTU MWENYE AKILI YAKE ATAYEWASIKILIZA MAJAMBAZI NYINYI MLIOMWAGA DAMU ZA WATU

Hao mliowauwa wengine ni wafanyabiashara na wengine ni watoto wa wafanya biashara. Si rahisi kusahau. wengine wangali vitandani wanauguza majeraha ya risasi na vipigo.

Kama waliotenda haya hawajakamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria, LAANA itawatafuna mpaka kaburini kwa dua zao.

Kumbukeni DUA YA MNYONGE HAINA KIZUIZI
 
Kuna marais wanaongea point mpaka sisi wananchi tusio hata na genge tunafarijika. Hivi ndivyo watu huongozwa
 
Post zako huwa zinanikosha sana, wewe ni kati ya wanaJF wachache sana wanaoijua nchi hii na siasa zake kiundani sana...Heshima yako Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…