Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp inawezekana mkuu?JPM anaweza kutamani kumtumbua huyu...[emoji2]
Iliwahi kutokea enzi zile za Mwalimu. Unamkumbuka Aboud Jumbe?Vp inawezekana mkuu?
Iliwahi kutokea enzi zile za Mwalimu. Unamkumbuka Aboud Jumbe?
Sijui kama inawezekana zama hizi..
aaaasubutuuuuuuuuuuuJamani, Magufuli naye afanye hivi ili wote twende sawa
Huko Zanzibar boss wake ni nani?!
[emoji23][emoji23][emoji23] Tu mgawe tu jiwe bure ata kwa North Korea
Mbona anataka kumfunika boss wake
Ooh ahsanteAna PhD ya Hammersmith
Shukran MaalimAna PhD kaifanyia Uturuki
Unaweza ku google CV yake kujiridhisha kama utapenda
Nimeandika hivi kusudi kwa kuwa wengi wenu mnadhani anaitwa Dr kwa sababu Shahada yake ya kwanza ya Udaktari
Thank you for your reminderDr. Hussein ni PhD holder. Update your memory
Mkuu Kiswahili kingeeleweka zaidi kwa sie tunaosumbuliwa na lugha ya malkia. Kwani ulitaka kusemaje?A congregation of sadist, kodi gani imeongezeka? Mbona kodi zimepungua? Au akili ya sisi wafanya biashara ? maamumzi ya sisi wafaya biashara hata tukisamehewa kodi tunaona tumeonewa.
Tutafika tuu.
How do yuo do business but you don't want to pay tax?
Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar
Pamoja na mambo mengine, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema hatafuatilia wafanyabiashara waliokwepa kodi kipindi cha nyuma lakini kuanzia sasa wote walipe kodi.
Huu ukiwa utaratibu tofauti sana na aliotumia Rais wa Jamhuri, Dkt. John Magufuli alipoingia madarakani kwa kufukua makaburi ya makontena yaliyoingizwa kupitia bandari na wahusika kutakiwa kulipa tofauti ya kodi yote iliyoonekana kukwepwa kwenye awamu iliyotangulia. Wapo walioshindwa na kampuni zao kufa na wengine kuonja chungu ya gereza kwa makosa ya uhujumu uchumi.
========
MWINYI: Zipo tabia za kufanya mikutano mingi bila ufumbuzi, mimi katika utawala wangu tabia hiyo sitoitaka. Tunapokutana, ninapozungumza changamoto ikawekwa, mkachukua halafu mkawa hamjazifanyia kazi ni kupoteza muda na mimi nataka niwaambie watendaji wote serikalini kwamba nina ahadi na wananchi ya muda wa miaka mitano, sina muda wa kupoteza, lazima tufanye kazi hii kwa haraka, lazima tujitahidi kuondoa changamoto zote na zile ambazo zitakuwa ngumu kwenu, mimi nipo, nileteeni nitahahakisha tunazimaliza.
Lengo la mkutano huu nimeuitisha kwa madhumuni ya kuwahakikishieni wafanyabiashara kwamba serikali yangu itatoa msukumo mpya katika kutatua changamoto zinazokabili biashara Zanzibar.
Ahadi yangu kwenu ni kuondoa changamoto zote zinazokwamisha biashara hapa Zanzibar. Najua kuna changamoto ya kodi mathalan, mimi sio muumini wa masuala ya kuweka kodi kubwa kwa sababu watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa serikali, ni kinyume chake.
Kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara, watakaofanya biashara kwa kodi kubwa ni wachache lakini tukipunguza kodi watakaofanya biashara ile ni wengi. Lakini serikali haiishi kwenye kodi tu.
Tukiweka kodi ndogo maana yake kuna watu nje ya Zanzibar watakuja kufanya shopping hapa Zanzibar, hoteli zetu zitajaa, teksi zetu zitakuwa na wateja, migahawa yetu itajaa, hiyo itaongeza mzunguko wa fedha katika uchumi.
Uchumi wetu utaendeshwa na sekta binafsi, ahadi kwenu ni kwamba serikali itaweka mazingira rafiki ya kufanya biashara na tutaondoa urasimu, tutaondoa rushwa, tutaondoa vikwazo vyote vinavyosababishwa na utendaji katika serikali. Maono yangu ni kuifanya Zanzibar iwe kituo cha biashara katika ukanda wetu. Mwenyezi Mungu ametujaalia tupo katika jiografia nzuri sana, tuna uwezo wa kuwa kitovu cha biashara.
Huyu ni mnyama hana hiyo akili ya binadamu.Jamani, Magufuli naye afanye hivi ili wote twende sawa
Post zako huwa zinanikosha sana, wewe ni kati ya wanaJF wachache sana wanaoijua nchi hii na siasa zake kiundani sana...Heshima yako Mkuu.Anazaliwa Baba tayari ni Balozi,
Uongozi upo kwenye bone narrow, Maisha yake yote ya utotoni Baba yupo kwenye Utawala, Baba anatundika Gloves yeye anaingia
Wenzangu na sie ukipata uteuzi ndio unaanza kujifunza kufunga tai kwa mara ya kwanza kwanini usione Binadam wenzio wote Kuku?