Rais Mwinyi yeye kazi tu, hakuna mibarakoa

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.


 
Huyu ndiye alitakiwa kuwa rais. Ikiwezekana 2025 awe...
 

Sio sifa kama hata tunapuuza wataalamu wetu wenyewe . Ijuaji unaua watu sana
 
Mnasahau kuwa huyo ni Daktari!! Inawezekana kisha pata chanjo; juzi tu kasema mahujaji watafanyiwa mpango wa chanjo ili waweze kwenda kuhiji!!!
Hawa Mataga ni wakaidi sana! Hawajifunzi tu mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…