Rais Mwinyi yeye kazi tu, hakuna mibarakoa

Rais Mwinyi yeye kazi tu, hakuna mibarakoa

Mnasahau kuwa huyo ni Daktari!! Inawezekana kisha pata chanjo; juzi tu kasema mahujaji watafanyiwa mpango wa chanjo ili waweze kwenda kuhiji!!!
Wenye chanjo pia wanavaa barakoa so tafuta kitu kingine chakuongelea
 
Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.

Dk. Mwinyi haendeshwi na mtu, au mstaafu yeyote, na alikuwa akimkubali sana The late JPM aka Mwamba.

Dk. Mwinyi hata alivyofanya uteuzi wa baraza lake au Wakuu wa Mikoa hajawahi kuwabadilisha ndani ya masaa 3 baada ya uteuzi, haelekezwi na mtu, anajisimamia mwenyewe na anawajua vizuri watu anaowateua. Hana akili za kushikiwa.
 
Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.

Hivi Katiba yao inasemaje kama Corona ikimfyeka na yeye Makamu wa Kwanza ndiye anachukua kijiti? Huwezi jua mipango ya Mungu kwani huku Tanganyika tulijua kama ukombozi utakuja bila kumwaga damu?
 
Majaliwa gani ,yule aliyetudanganya kuwa Jiwe mzima kumbe kisha kata umeme? Mtu yeyote muongo sio muaminifu!!!
Kwahiyo mama Samia nae muongo maana nae alitudanganya pia kuhusu Magufuli?
 
Hivi ni kweli kuna watu wanafikiri Mama Samia anvaa barakoa kwa sababu ya kujikinga na corona? Kwa akili ya kawaida basi tungeona akifanya toka alipoapishwa na kuwa rais ila aliongoza mazishi ya Magufuli hadi mwisho bila barakoa akaenda Uganda ila aliporudi akavua barakoa,sasa huyo kweli ndio utasema sasa hivi ndio kajua umuhimu wa kuvaa? Kwa kifupi viongozi karibu wote hawaamini katika kuvaa barakoa Mama samia anavaa kimkakati tu.
 
Kwahiyo mama Samia nae muongo maana nae alitudanganya pia kuhusu Magufuli?

Samia aliwasiliana nae kabla ya kukata umeme hivyo hakutudanganya ; amekuja zungumza habari za jiwe alipotangazia umma kuwa alikuwa ameisha twaliwa na Israel!! Hivyo hakutudanganya kama huyo aliye tuhadaa kuwa"tunataka aende Kariakoo"!
 
Wenye chanjo pia wanavaa barakoa so tafuta kitu kingine chakuongelea

Wenzenu mnaotaka kuwaiga hivi sasa wanatupa barakoa!!! Huko marekani Sasa hivi mjadala ni kuvaa au kutovaa barakoa!!
 
Back
Top Bottom