UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hakutudanganya! unakumbuka yeye alisema nini kuhusu Magufuli au umesahau?Samia aliwasiliana nae kabla ya kukata umeme hivyo hakutudanganya ; amekuja zungumza habari za jiwe alipotangazia umma kuwa alikuwa ameisha twaliwa na Israel!! Hivyo hakutudanganya kama huyo aliye tuhadaa kuwa"tunataka aende Kariakoo"!