Hakutudanganya! unakumbuka yeye alisema nini kuhusu Magufuli au umesahau?Samia aliwasiliana nae kabla ya kukata umeme hivyo hakutudanganya ; amekuja zungumza habari za jiwe alipotangazia umma kuwa alikuwa ameisha twaliwa na Israel!! Hivyo hakutudanganya kama huyo aliye tuhadaa kuwa"tunataka aende Kariakoo"!
Hawezi kuruhusiwa kwa sasa kwenda KenyaHajasafiri kwenda Kenya. Huenda nae akienda, atarudi na barakoa.
Hakutudanganya! unakumbuka yeye alisema nini kuhusu Magufuli au umesahau?
Kwahiyo alivyozungumza nae kwa simu hakuwa anaumwa ile serious ilikuwa vimafua mafua na viuchovu uchovu tu si ndio?Alipoanza ziara ya Tanga , mwendazake alikuwa bado hai hivyo walizungumza kwa Simu na mwendazake kumuarifu kuwa alikuwa anaendelea vizuri; na hizo ndio salamu alizozifikisha kwa wananchi!! Samia alikuwa anafichwa juu ya hali ya Jiwe na wakina Bashiru na genge lake kwani walikuwa na mpango wao wa kuhujumu Katiba kuhusu succession!
Muislamu wawapi sijui ,waislamu sio waongoMajaliwa gani, yule aliyetudanganya kuwa Jiwe mzima kumbe kisha kata umeme? Mtu yeyote muongo sio muaminifu!!!
Muislamu wawapi sijui ,waislamu sio waongo
Kwahiyo alivyozungumza nae kwa simu hakuwa anaumwa ile serious ilikuwa vimafua mafua na viuchovu uchovu tu si ndio?
bora mama alijitahidi ,Mafua kwamwanadamu nikawaida...SWADAKTA! DINI YA KIISLAM INAKEMEA UONGO!
Inaua kama kifua kikuu, ukimwi, HBP, kisukari na mengine mengiKwa hiyo corona haiuwi?
OkeyInaua kama kifua kikuu, ukimwi, HBP, kisukari na mengine mengi
pengine naye alikuwa haamini kama yule rc wa mbeya/mwanza. yeye alimuuliza kabisa mke wake amshike moyo kama ni yeye amekufa....mwendazake aliwaaminisha kupitiliza wasaidizi wake nadhani......!Angekaa kimya badala ya kusema "mnataka aende Kariakoo"!! Amejishushia heshima na wananchi wengi hawamuamini tena na hata mwenyewe hana confidence tena; yuko yuko tu!
Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.
Wewe ulimuona au ulikuwepo wakati wanaongea kwenye simu? una uhakika gani alikuwa hai au alikuwa haumwi sana ni viuchovu tu kama alivyosema Mama samia?Alikuwa bado hai!!!! Israel alikuwa ndio anamyemelea!
Wewe ulimuona au ulikuwepo wakati wanaongea kwenye simu? una uhakika gani alikuwa hai au alikuwa haumwi sana ni viuchovu tu kama alivyosema Mama samia?
Sasa Mama anatuambia Magufuli haumwi sana ni uchovu uchovu wakati watu hawajamuona kwa muda mrefu na hata baada ya hapo watu hawakumuona tena Magufuli hadi walipisikia kifo chake, sasa uchovu ndio uliyomuuwa Magufuli? ila huoni kuwa Mama katupotosha.Cha msingi hapa ni kuwa tofauti na Majaliwa kutupotosha kwa sababu walizokuwa nazo wao na genge lao, mama hakutupotosha kwani alikuwa hana sababu ya kufanya hivyo!! Cha msingi hapa ni kwamba ujumbe wa mama ulitolewa mwendazake kabla hajakata umeme!!
Sema nini, hakuna marafiki siwaamini Kama Waislam. Ni waongo kupitiliza. Huwa nashangaa Sana kauli ya Fulani n muislam Safi so hawezi fanya Hilo au kile.SWADAKTA! DINI YA KIISLAM INAKEMEA UONGO!
Sema nini, hakuna marafiki siwaamini Kama Waislam. Ni waongo kupitiliza. Huwa nashangaa Sana kauli ya Fulani n muislam Safi so hawezi fanya Hilo au kile.
N.B Nimekulia familia ya Waislam haswa na nina ndugu wengi Waislam, ni waongo balaa
Sasa uislamu na uongo unahusiana vp? kwanini usingesema hao ndugu zako ndio waongo? maana atakuja mwengine atasema waislamu wezi kisa alikutana nao jela huko kwa kesi za wizi.Sema nini, hakuna marafiki siwaamini Kama Waislam. Ni waongo kupitiliza. Huwa nashangaa Sana kauli ya Fulani n muislam Safi so hawezi fanya Hilo au kile.
N.B Nimekulia familia ya Waislam haswa na nina ndugu wengi Waislam, ni waongo balaa
Vipi bado havai 😆Dk. Mwinyi haendeshwi na mtu, au mstaafu yeyote, na alikuwa akimkubali sana The late JPM aka Mwamba.
Dk. Mwinyi hata alivyofanya uteuzi wa baraza lake au Wakuu wa Mikoa hajawahi kuwabadilisha ndani ya masaa 3 baada ya uteuzi, haelekezwi na mtu, anajisimamia mwenyewe na anawajua vizuri watu anaowateua. Hana akili za kushikiwa.