Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?

2. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.
 
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?

3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Waziri mkuu ni the third in command hapa nchini.... ndo maana tunamwita nr tatu.
 
Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu.

La roche
 
Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Waziri Mkuu
Asipokuepo yeye pia Naibu wake asipokuepo na yeye anaebakia kusimamia ni Spika wa Bunge akiwa hayupo na yeye Naibu wake akiwa hayupo na yeye Mkuu wa Majeshi ndio anachukua nafasi km yeye hayupo pia anachukua anaemfuatia mwenye nyota 3 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 2 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 1

Uliza swali lingine
 
Back
Top Bottom