Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Rejea
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-17-18-44-40-81.jpg
    Screenshot_2024-08-17-18-44-40-81.jpg
    447.8 KB · Views: 7
Hapana ....
1. Raisi
2. Makamu wa Raisi
3. Waziri Mkuu
4. Naibu Waziri Mkuu
5. Spika wa Bunge
6. Jaji Mkuu

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hapo kwa Jaji Mkuu umekula bonge la Mkasi anafuata Naibu Spika akiwa hayupo maana yake Nchi haipo Salama Mkuu wa Majeshi anachukua Nchi
 
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?

3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Watoto wa siku hizi mu-wavivu sana kujitafutia materials.
Yaani tukutajie kifungu wakati Katiba unayo mkononi.
AIBU SANA.

1. Rais
2 Makamu
3. PM
 
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?

3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Spika... Ndo maana Mzee wa Kongwa akaingia Tamaa baada ya Shujaa kukata moto
 
Back
Top Bottom