Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Shida hawa vijana wanachanganywa na Mamlaka ya umma. Mamlaka ya umma hata mtoto aliemaliza Form IV akijiingiza kwenye Siasa anaweza kuteuliwa kushika uongozi wa kichama au kitaifa kama vile mkuu wa wilaya na kuendelea ni tofauti na vyeo vya majeshi.
Kasome Katiba ya Nchi yako
 
Hujaeleweka ulichokiongelea/uliemuongelea!
Kwa taarifa yako tu, nazijua chapters zote 10 za Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Sasa ndio nimekwambia tafuta hotuba ya Mobeyo umsikilize upya, halafu naona ananisumbua tu hapa kuna kitu huelewi unabidi uelekezwe na Bakora
 
Sasa ndio nimekwambia tafuta hotuba ya Mobeyo umsikilize upya, halafu naona ananisumbua tu hapa kuna kitu huelewi unabidi uelekezwe na Bakora
Iweke hapa hiyo video, maana wewe ndio una hoja. Unaweza kusikilizwa.
 
Iweke hapa hiyo video, maana wewe ndio una hoja. Unaweza kusikilizwa.
Wewe inabidi uelekezwe na fimbo za mianzi hivi hivi hauwezi kuelewa nenda kule juu kasome tena nilichoandika mpaka nilipofika kwa Mkuu wa Majeshi alafu soma tena maana naweza nikawa nabishana na mtu ana D1
 
Waziri Mkuu
Asipokuepo yeye pia Naibu wake asipokuepo na yeye anaebakia kusimamia ni Spika wa Bunge akiwa hayupo na yeye Naibu wake akiwa hayupo na yeye Mkuu wa Majeshi ndio anachukua nafasi km yeye hayupo pia anachukua anaemfuatia mwenye nyota 3 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 2 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 1

Uliza swali lingine
Kama hayupo mwenye nyota 1 anafuatia asiye na nyota.

Kama na asiye na nyota hayupo anafuatia asiye na nini?

Gwanda au?
 
Back
Top Bottom